JF Football team

JF Football team

Mbona jazba tena Arifu?
kuwa mpole Bana, nilikuwa nashauri tu manake aki-R.I.P huyo sijui utapata wapi tena Mpua mrefu vile, lol
Hahha hahahah,
Wala hakuna jazba arifu ni uandishi tu swaiba!

BTW,kile chuma japo napata ukakasi na hilo neno red hapo,
Mungu ni mwema atampa maisha marefu sana Rejao wangu maana ile pua anayo mwenyewe nami ndio ugonjwa wangu lol!
 
Mbona jazba tena Arifu?
kuwa mpole Bana, nilikuwa nashauri tu manake aki-R.I.P huyo sijui utapata wapi tena Mpua mrefu vile, lol
Hahahahahahaaaaaaa kipuaaaaaa lol
 
Hahaha hahhaah,
Haya nimenyamza shem!

Ushindwe na kulegea kbs,kamwe haitatokea kwa rejao ndio nimefika ebo?
Itabidi nikuulize vizuri maana sijajua unampango gani na ndoa yangu siku zote unaiombea mabaya tu!
Shem mi nakuombea heri tu.....haya ya magamba ni kawaida na yataisha muda si mrefu
 
Hahha hahahah,
Wala hakuna jazba arifu ni uandishi tu swaiba!

BTW,kile chuma japo napata ukakasi na hilo neno red hapo,
Mungu ni mwema atampa maisha marefu sana Rejao wangu maana ile pua anayo mwenyewe nami ndio ugonjwa wangu lol!
Hivi leo humpi cha mchana?
 
Ok vipi unachezea pembeni?Kulia?Katikati au kwa pembeni kulia kwa nyuma wakati wa mazoezi yaleee?

katikati kwa nyuma ndo nachezea kwa sana ila hata kwenye duara la mbele mi ni mbunifu wa kusukuma mashambulizi. Vp ntapata namba?
 
katikati kwa nyuma ndo nachezea kwa sana ila hata kwenye duara la mbele mi ni mbunifu wa kusukuma mashambulizi. Vp ntapata namba?
Hahaaaa ngoja nimwombe Canta atusaidie kukuangalia km una kiwango
 
Jaman swaiba upo?
Ww njoo jukwaan tuwashangilie tu wasije wakakuvunja bure mkeo akatuletea kesi hapa!

nipo swahiba.
Mishemise tu mjini hapa, huyo mke wa kuleta kesi ametoka wapi tena? Wifi yenu G. Mpolee tangu atokomee mazima ndo sijapata mbadala wake tena...
 
Back
Top Bottom