JF Football team

JF Football team

Yuko fiti kote kote arifu,
Futboli na Bedboli ebo!!!

Aisey ! Hapa nimekukubali kijana cha kike Penzi walijua! POVU kg 50 limekumwagika kwa namba tu! Je ungesikia kanyimwa ugali ? Pangechimbika!
Mie bahati kama hii sijaipataga bado!
 
nipo swahiba.
Mishemise tu mjini hapa, huyo mke wa kuleta kesi ametoka wapi tena? Wifi yenu G. Mpolee tangu atokomee mazima ndo sijapata mbadala wake tena...
Mphamvu hujui Golden Mpoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza?
Utafungwa aiseee lol na jf utaisahau
 
Hahahahaahahaaaaa hata kama ni mayai ila ile kitu jua kali noma labda niwe nimeopoa Housegirl wa jirani lol
Khaaaaaaaaa!
Kwani huna AC jaman shem?mbona unaniabisha?
Nataman Amy apite pande hizi asome hapo kwenye red!!!
 
Teh hivi Loy hujui hata anayekukagua kiwango chake ni cha juu sana?
Utaaibika ooooh shauri yako

kashakuja kulalamika kwako! Zoezi tu limemshinda. Kijana huna budi kunitupia kwenye first eleven. Watu na mapafu yetu bwana.
 
Aisey ! Hapa nimekukubali kijana cha kike Penzi walijua! POVU kg 50 limekumwagika kwa namba tu! Je ungesikia kanyimwa ugali ? Pangechimbika!
Mie bahati kama hii sijaipataga bado!
Ina maana Husninyo hakutosherezi eeeeh?
Judgement angalia sana aisee maana tangu jana naona umekuwa ukivizia kwa Lizzy na leo naona ni kama Canta kakupoteza kihisia lol
 
Khaaaaaaaaa!
Kwani huna AC jaman shem?mbona unaniabisha?
Nataman Amy apite pande hizi asome hapo kwenye red!!!
Hahahahahaaaaa wewe una balaaa aiseee hupendi nienjoy love na my Amyner?
Mh ila ninachompendea Amy anawajua The Majungu na Fitina makers so akikuta wewe ndo umeandika haya atasema 'I love u Erickb52' halafu ubaki unang'aa macho
 
kashakuja kulalamika kwako! Zoezi tu limemshinda. Kijana huna budi kunitupia kwenye first eleven. Watu na mapafu yetu bwana.
Hahahahaaa zoezi umelipigia wapi?
Kushoto au kulia?
 
Naombeni waandaaji wa mechi mnipe dili la kuuza maji ya kunywa kwa mashabiki,wachezaji watakunywa bure.Pia nitauza mavuvuzela na vibendera vya timu zote mbili vitapatikana.

Haturuhusu yale maji ya viroba vya mia'mia , yakufungia home .
 
Aisey ! Hapa nimekukubali kijana cha kike Penzi walijua! POVU kg 50 limekumwagika kwa namba tu! Je ungesikia kanyimwa ugali ? Pangechimbika!
Mie bahati kama hii sijaipataga bado!
Yani swaiba ww acha tu,
Bila mme wangu kupewa namba game haitakuwepo aisee!
Ugali na kitumbua nampa mwenyewe kutwa mara tatu na moja kwa tatu lol!
 
jamani niwekeni hata sub ya Jukwaa la siasa, natembea dimba kubwa balaaaaa! Chit-chat wajiandae vyanzu( kanzu ) vya kumwaga.
Jukwaa la stress mko wengi hadi mtakuwa mnapigana vyanzu wenyewe lol
 
Hahahahahaaaaa wewe una balaaa aiseee hupendi nienjoy love na my Amyner?
Mh ila ninachompendea Amy anawajua The Majungu na Fitina makers so akikuta wewe ndo umeandika haya atasema 'I love u Erickb52' halafu ubaki unang'aa macho
Hhahah hahhaa,
Yani ww hiyo hua unaambiwa?
Sie hiyo nistyle ya kupokea simu,
Nikimpingia badala ya halow,hua anasema 'i love u wife' na mie kadhalika akinipigia napokea I love u huby then ndio tunapeana habari,ww mpaka umsubiri aje akuanikie hapa!!!!
 
Yani swaiba ww acha tu,
Bila mme wangu kupewa namba game haitakuwepo aisee!
Ugali na kitumbua nampa mwenyewe kutwa mara tatu na moja kwa tatu lol!
Teh namimi ntaiga maana sitaki kuwa nyuma sana
 
Hahahahahaaaaa wewe una balaaa aiseee hupendi nienjoy love na my Amyner?
Mh ila ninachompendea Amy anawajua The Majungu na Fitina makers so akikuta wewe ndo umeandika haya atasema 'I love u Erickb52' halafu ubaki unang'aa macho

B52 Hujaongea bado!
Utetezi dhaifu kabisa! Namtaka shem Amy mwenyewe aseme, unamjibiaje?
Alafu badala uanze kuzima huu moto wako uliouwasha! Umekimbilia kukolezea moto kwangu!
Ule wangu hauhitaji fire bregade kuuzima, huu wako unataka vifaa !
Umekoleaje ?
 
Kwanza wewe ndo una kesi nyingi sana na kubwa kuliko mimi so acha kunimaliza coz hata mi ntakudill hadi uachike....
Kwanza ndoa yako haijabarikiwa hata kazaigoti unaanza kutafuta wake za watu lol
Kwanza naanza kukuwashia moto kwa Rejao ujiju
 
Chezeiya Canta!!!

hahahahaha---hapana chezeiya kabisa
Unadhani kwanini Rejao hachomoki ingawa anajua wazi Canta ni CHADEMA original?
Na Arumeru kila mtu alikuwa anaenda kupiga kampeni kwa chama chake then jion wanakutana na shughuli kama kawa ingawa jamaa hakupenda
 
Back
Top Bottom