JF Football team

JF Football team

Mi namwamini sana Canta kwa kiwango cha juu sana we utakuwa unaniingiza mjini

we tayari upo mjini sa nikuingize vp tena mjini nenda kamuulize mwenyewe!! Tatizo we unaangalia majina sio viwango.
 
Kwanza wewe ndo una kesi nyingi sana na kubwa kuliko mimi so acha kunimaliza coz hata mi ntakudill hadi uachike....
Kwanza ndoa yako haijabarikiwa hata kazaigoti unaanza kutafuta wake za watu lol
Kwanza naanza kukuwashia moto kwa Rejao ujiju

Kwa Junguz nakuamini , japokua mie hua hayanidhuru, tuachane na hayo haya makitu yapo kibao! Tena yapo si kwa ajili yao,
yapo kwa ajili yetu.
Sisi ndiyo walaji. Hujalijua hilo ?
 
Hivi wewe ni erick ninayemjua au mwingine?
Jamani bby hawa jamaa wameninukuu vibaya wala simaanishi haya....
Kwanza wana bifu na mimi wamenianza tangu jana ila navumilia tu....
Achana nao na nimewaambia kuwa mimi na wewe ni milele daima!
 
we tayari upo mjini sa nikuingize vp tena mjini nenda kamuulize mwenyewe!! Tatizo we unaangalia majina sio viwango.
Hahahahaaa kwani majina hayadetermine viwango?
 
Unadhani kwanini Rejao hachomoki ingawa anajua wazi Canta ni CHADEMA original?
Na Arumeru kila mtu alikuwa anaenda kupiga kampeni kwa chama chake then jion wanakutana na shughuli kama kawa ingawa jamaa hakupenda
Hhahah hahaha,
Erick nakuhesabia siku za kusutwa tena kwa mavuvuzela maana naona unaiamdama sana ndoa yangu!
 
Kwa Junguz nakuamini , japokua mie hua hayanidhuru, tuachane na hayo haya makitu yapo kibao! Tena yapo si kwa ajili yao,
yapo kwa ajili yetu.
Sisi ndiyo walaji. Hujalijua hilo ?
Teh yapo kweli ila mi kwa nanii nimefika
 
Jamani bby hawa jamaa wameninukuu vibaya wala simaanishi haya....
Kwanza wana bifu na mimi wamenianza tangu jana ila navumilia tu....
Achana nao na nimewaambia kuwa mimi na wewe ni milele daima!
Heee heeee heeee!
Shem mambo?
 
Amy dia mambo?
Am missing u friend!!!
Mnafiki mkubwa wewe....
Wakati hayupo umenipondaaaaa sasa unajidai eti umemmiss hujui yeye ni mimi na mimi ni yeye so ulikokuwa unaniponda mimi ni kama ulikuwa unamonda yeye...
Hadanganyiki
 
Ambitious umechambua vema kikosi pale juu!ila Wacha ameanza kuwa na kauli njema,amebadilika kama tevez alivyobadilika!
ngoja nianze kufanya mazoezi,timu ikiwa tayari kufanya mazoezi mtanikuta niko fiti!

Nimejaribu tu mkuu.Anza kupasha misuli ili tukianza mazoezi rasmi unakuwa uko fit zaidi mkuu.
Wacha inategemea na mwenendo wake wa kinidhamu bado ana nafasi kwenye kikosi cha kwanza.
 
Mnafiki mkubwa wewe....
Wakati hayupo umenipondaaaaa sasa unajidai eti umemmiss hujui yeye ni mimi na mimi ni yeye so ulikokuwa unaniponda mimi ni kama ulikuwa unamonda yeye...
Hadanganyiki
Bora yangu nakuponda wewe tunapeana vindonge laivu,
Mbona wewe unamponda mme wangu tena ukijua hayupo hapa,
Niahakujua wewe,mkuki kwa ngurue aiseee!,

BTW,mie nikizinguana na ww ni ww tu wala rafiki yangu Amy simgusi na ndio maana amekuja nimempa hi!!!
 
Teh teh sawa shem wangu....
Sina raha shem wangu
 
Back
Top Bottom