JF Football team

Khaaaaaa!shem mbona ndoa yangu inakunyima aman kiac hiki jaman!utashindwa na mbinu yako chafu,kituo chetu chit chat au siasa basi hakuna wa kutenganisha abadan! mme wangu namba lzm apate lol!
Hahahahaaaa shem sio mimi ni jamaa wenzake wa Jukwaa la Siasa ndo wamesema hafai kwa kuwa Chit-Chat wanaweza kumuhonga akaachia magori.....
Najua itawauma sana kukosa match ila hakuna tatizo wakati mwingine atashiriki...
 
Akina nani?
Nahisi ni ,Mtei One,Bagah,Smili9ng Saint,Jugdement,Asprin,Shabani,Uporoto,Klorokwini,Jegi,
Kuimbuka wote hawa wanategemea nguvu ya Usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeee

Mi ntakuwa muweka hazina wa timu. Pakitoke nafasi ya kucheza ntaingia. Mi ni midiflda mzuri
 
Ambitious umechambua vema kikosi pale juu!ila Wacha ameanza kuwa na kauli njema,amebadilika kama tevez alivyobadilika!

ngoja nianze kufanya mazoezi,timu ikiwa tayari kufanya mazoezi mtanikuta niko fiti!
 
Weeeee, maziwa ya mgando na Kloro sijawaona kwenye kikosi kipya.

Afu na mie sijaona nimepangwa wapi, nitastopisha mahela ya timu, unanchezea Abromovich, ntafukuza wachezaji na kocha.
 
Jukwaa la siasa tushaandaa jezi, tutapiga uzi wa maana! Hatuvai bukta,tutapiga 'topsi' la gwanda kama Cdm, uzi wa juu utakuwa na rangi kama bendera ya chadema. Ritz, Rejeo na pasco, hawatapangwa. Hawachelewi kupokea ki2 kidogo toka 'chit chat' c unajua tena wale ni magamba, na rushwa ni sehemu yao.
ahahahaaa kazi kweli kweli
 
Ambitious umechambua vema kikosi pale juu!ila Wacha ameanza kuwa na kauli njema,amebadilika kama tevez alivyobadilika!

ngoja nianze kufanya mazoezi,timu ikiwa tayari kufanya mazoezi mtanikuta niko fiti!
Hata mfanye mazoezi kwa match ya majaribio na Chit-Caht Jukwaa la Siasa mtafungwa.....unajua kwanini?
 
Weeeee, maziwa ya mgando na Kloro sijawaona kwenye kikosi kipya.

Afu na mie sijaona nimepangwa wapi, nitastopisha mahela ya timu, unanchezea Abromovich, ntafukuza wachezaji na kocha.
Hahahahahaaa tatizo lako watu wameshindwa kujua kama ni dada au kaka so wanaogopa kupanga timu ya jinsia Mbili....
We kaa jukwaa la Ufundi kama ulivyokuwa umeomba mwanzo
 
Back
Top Bottom