mi nipangwe timu ya kuogelea......
Hivi kumbe FirstLady1 nawewe umo eeeeh?
Lol usimsahau Triple H
MAMMAMIA Dahhh tunahitaji watu 15 uwanjani na at least 5 reserve.
Na kama si hivyo itabidi tucheze rugby sevens.
Uzuri wa rugby kila mtu anakubalika.
Tunahitaji wenye vitambi. Mistari wa mbele wa Scrum. Wakimbiaji "wings" kwa kifupi tunahitaji walioshiba ajili ya "forwards" na
Ambao hawana unene ajili ya "back's "
Tunawakaribisha kwenye timu yetu vigezo vi kuu "you have to be tough & rough"
Bishanga Kocha !!!kasomea wapi au wa kuangalia kwenye television?
Mie mganga wa timu (kamati ya ufundi). Naomba MziziMkavu awe msaidizi wangu. Tunaloga mechi zote tunashinda wenyewe.
Dahhbhhh nimekupenda ghafla charminglady .. yaani hapa tutaunda timu babu kubwa. Which position do you wanna play?