JF Female Sports Club

JF Female Sports Club

mi nipangwe timu ya kuogelea......
Umependesa wewe! Ningependa kuwa kocha wako.

Mie mieleka tafadhali, nitafutie na Triple H wangu kabisa.
wanaopenda kungfu wanijulishe tafadhali hiyo ndo nzuri zaidi
Hii tutaiita Mieleka Kungfu Fusion Tema

Naomba kuwa mweka hazina wa Club
mi tim maneja.
Mie nipeni ukit manager,na mfadhili wa timu
Yan hakuna mchezo niupendao kama Mieleka...
Lol
Mnahitajika sana. Nashauri mkutane kugawana majukumu

Hakuna mchezo wa kukatika nyonga! Ningependa kuwa kiranja! Lolest, sasa leo nani goal keeper!? Mwe!
kamati ya chakula na ushangiliaji please
Ummu kulthum, utakuweko kwanye kamati ya chakula, wakati wa kushangilia utaungana na kirania cacico kukata nyonga

Mie mganga wa timu (kamati ya ufundi). Naomba MziziMkavu awe msaidizi wangu. Tunaloga mechi zote tunashinda wenyewe.
Nataka kuwa physiotherapist wa timu, I'm good at that...
nAOMBA NIWE MSHAURI WA TIMU
Nyinyi mnaweza kuwa kikundi kimoja cha KAMATI YA UFUNDI. Msiwasahau MziziMkavu na Mwali.

Naomba jezi niingie uwanjani.
12 inakufaa na imekukaa kweli
Catheine12.jpg
 
Mie mganga wa timu (kamati ya ufundi). Naomba MziziMkavu awe msaidizi wangu. Tunaloga mechi zote tunashinda wenyewe.

Shosti kumbe unajua kupunga MARUHANI!
haya usisahau tunguli zako lakini mie sitaki kuwa kiranja mkuu wa kubeba hirizi, maan wabeba hiridhi hawakawii kufa uwanjani LOL
 
Last edited by a moderator:
Timu ikiingia kambini lazima kwanza ichezwe Unyago ili isije ikawa inatoa siri za timu... RR atakuwa kumgwi msaidizi, na mie nitakuwa Manju

Well.... Zinduna asante kwa neema hii...
Nipo availabo kwa 106%.....:hug:
 
Last edited by a moderator:
mtu chake inabidi uwe na pesa nyingi ili uwe mfadhili wa timu sasa sijui accounts zako zinasoma dollars,euro,pounds..ama TSH/=
...ucjari CUTE...mie tena..unanijua unanisikia ..?..kwa kuanzia timu kambi..S.A
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom