MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Klabu ya Michezo ya JF imeanzishwa. Kwa sasa tunaandaa timu ya Mpira wa Miguu lakini baadaye michezo mengine kama Mpira wa Kikapu, Riadha, Baiskeli, Kuogelea...zitaanzishwa.Tayari wachezaji watatu mahiri wamejitokeza na wanasakata gozi si mchezo: Zinduna, Erotica na Smile.

Tunawapmba akina CUTE, cacico,Kaunga na Mwali wajitokeze. Kocha wa muda ni Bishanga kwa masharti kuwa hatawatongoza wachezaji, Mlezi wa timu Kongosho atahakikisha kuwa Bishanga hafanyi hivyo.

Tunawapmba akina CUTE, cacico,Kaunga na Mwali wajitokeze. Kocha wa muda ni Bishanga kwa masharti kuwa hatawatongoza wachezaji, Mlezi wa timu Kongosho atahakikisha kuwa Bishanga hafanyi hivyo.