JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

jamani mtoto wa bamkubwa siku hizi sikuoni kabisa nini shida?? namuona huyu wa bamdogo yeye anakazi ya kunitania tu hapa

masaibu ya dunia dada, lakini yamekwisha Mwenyezi Mungu ni mwenye heri sana!!! Hii tuje tuiite blue party au sijui ni nini embu sajesti jina la kusanyiko hiliii

Hapa tunadiskasheni gani

Niko kwen maombolezo ya form four results

tunaliwazana kufuatia kurundika ziro nyingi majumbani mwetu
 
Madame B naomba kujua muafaka wa hii sredi maana mpaka sasa nimesoma na sijaona kipengele cha nini tunaenda kufanya. Paloma hebu ukuje kunyumba mie nakusubiri
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na gfsonwin iwekwe summary ya yaliyojiri na yaliyokuwa yanahitaji utekelezaji
Hiyo summary mnayotaka mbona hapa watu watakimbiana??maana mhmmm:shut-mouth:Labda!!!Labda muhainishe summary inayotakiwa maana nilichokiona ni kujuana>> na kubadirshana>>nambaza simu>>na mwisho................kesho kwenye sled!!
CC: Madame B, Paloma, kipaji halisi, amu, Kaizer, Jiwe Linaloishi, Zion Daughter, bazazi Asprin, Superman, Vin Diesel, Mtambuzi, watu8, Ruttashobolwa, cacico, gfsonwin, Tulizo, lara 1, Jesca, mwaJ Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Hiyo summary mnayotaka mbona hapa watu watakimbiana??maana mhmmm:shut-mouth:Labda!!!Labda muhainishe summary inayotakiwa maana nilichokiona ni kujuana>> na kubadirshana>>nambaza simu>>na mwisho................kesho kwenye sled!!
CC: Madame B, Paloma, kipaji halisi, amu, Kaizer, Jiwe Linaloishi, Zion Daughter, bazazi Asprin, Superman, chamminglady, Mtambuzi, watu8, Ruttashobolwa, cacico,
Ha ha haaaa KakaKiiza mkodobwe unakuhusu. wapi Zinduna ???.
Hebu toa mifano ya kujuana na namba za simu? mbona mimi hukunipa namba yako ya simu?..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom