JF Competition 2012: Judges & Sponsors

JF Competition 2012: Judges & Sponsors

AshaDii dada mkubwa mie najitoa basi miongoni mwa majaji ili kuheshimu mchango wako. ila sasa kuna wengine sio memba wa jukwaa moja hivyo u judge ndio ungekuwa mzuri zaid kwetu. kuliko kuwa miongoni mwa washiriki. kumbuka sinaga jukwaa ambalo nimebobea zaid huwaga naruka ruka tu majukwaa yote

Nakushukuru saana dearest.... Asante kwa kuheshimu hilo.

Unasema kuwa huja base kwenye jukwaa moja, ni ngumu wewe kujiona labda siwe watazamaji zaidi... Sijui kama nitakosea wengine watanikosoa ila jukwaa lako kubwa ni MMU (nadhani ndio maana waitwa na kujiita kungwi) - angalia threads zako nyingi ni zipi; Jukwaa lako ka pili kwa matumizi ni Chit Chat (mashoga zako wote wapo huko... Lol); Then ndio yanafuata Siasa, photos, Chef, n.k.

Again... Nashukuru saana. Pamoja sana mdogo wangu. :A S 11:
 
Mkuu, sikuona PM yako yoyote. Pia nilipokuuliza ulkisema ungemtoa binti yako kama zawadi na likaishia hivyo. so tulilichukulia kiutani zaidi. Lakini kama uko serious kama sponsors wengine, naomba ulithibitishe sasa!

Mkuu samahani naomba kuwa mdhamini,halafu kuna shindano lingine linaendelea kuna mhusika wa hilo shindano nilisema pia nataka kuwa mdhamini lakini naona kimya hebu tujulishane bana unajua wengine tunapenda kushiriki kwenye vitu hivi kwa sababu ndio kwana tuna miezi kama minne tu humu Jamvini kwa hiyo tunaomba na sisi muwe mnatujali na kutukumbuka,tunachohitaji ni kushare na wenzetu katika mazuri wanayoyafanya kama hili Mkuu.
 
Nakushukuru saana dearest.... Asante kwa kuheshimu hilo.

Unasema kuwa huja base kwenye jukwaa moja, ni ngumu wewe kujiona labda siwe watazamaji zaidi... Sijui kama nitakosea wengine watanikosoa ila jukwaa lako kubwa ni MMU (nadhani ndio maana waitwa na kujiita kungwi) - angalia threads zako nyingi ni zipi; Jukwaa lako ka pili kwa matumizi ni Chit Chat (mashoga zako wote wapo huko... Lol); Then ndio yanafuata Siasa, photos, Chef, n.k.

Again... Nashukuru saana. Pamoja sana mdogo wangu. :A S 11:
Ila lara 1 naye alipaswa kuwa mshindani na siyo Jaji, ila sijui kama wagombea wameshachaguliwa au bado maana sijaona thread ya wagombea na sikuwepo jamvini kwa siku kazaa kwa mapumziko ya sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samahani naomba kuwa mdhamini,halafu kuna shindano lingine linaendelea kuna mhusika wa hilo shindano nilisema pia nataka kuwa mdhamini lakini naona kimya hebu tujulishane bana unajua wengine tunapenda kushiriki kwenye vitu hivi kwa sababu ndio kwana tuna miezi kama minne tu humu Jamvini kwa hiyo tunaomba na sisi muwe mnatujali na kutukumbuka,tunachohitaji ni kushare na wenzetu katika mazuri wanayoyafanya kama hili Mkuu.
Hata kama Superman yupo mbali karibu sana, hapa wawezeshaji ndio wanahitajika zaidi, mkuu AshaDii inaonekana Superman ameshakwenda kula makange hebu mpokee huyu member anataka kuwezesha shindano. ila asilete utapeli wa kwao CCM.
 
Last edited by a moderator:
nadhani ni lazima kitu fulani kifanyike tuone namna ya kuiweka kwenye kinyang'anyiro hichi hii ID ya lara 1
 
Hata kama Superman yupo mbali karibu sana, hapa wawezeshaji ndio wanahitajika zaidi, mkuu AshaDii inaonekana Superman ameshakwenda kula makange hebu mpokee huyu member anataka kuwezesha shindano. ila asilete utapeli wa kwao CCM.

Speed Tanker Mkuu samahani sanan kama hiki kinachofanyika ni utani is Ok nitakuwa TAPELI,lakini kama ni suala ambalo liko Serious nitafanya kama nilivyoahidi,Pili naomba usinisemee kwamba mimi ni MwanaCCM,Mkuu mimi kwa sasa sina chama kwa sababu vyama vyote bado naona vinafuata ile njia ya CCM so sina imani navyo sana,ilikuwa imebaki kidogo njiunge na CHADEMA lakini na wenyewe mnyukano wao unaondelea umenistua na kuniogopesha,so nimebaki kuwa mtu wa kati na kuangalia yale ya msingi tu.Kwa hiyo naomba kurudia siko kisiasa hapa kama ambavyo naona Thread hii imekaa,lakini kama kuna siasa sitakuwa tayari kudhamini.
 
Mkuu samahani naomba kuwa mdhamini,halafu kuna shindano lingine linaendelea kuna mhusika wa hilo shindano nilisema pia nataka kuwa mdhamini lakini naona kimya hebu tujulishane bana unajua wengine tunapenda kushiriki kwenye vitu hivi kwa sababu ndio kwana tuna miezi kama minne tu humu Jamvini kwa hiyo tunaomba na sisi muwe mnatujali na kutukumbuka,tunachohitaji ni kushare na wenzetu katika mazuri wanayoyafanya kama hili Mkuu.

Mkuu kwa niamba ya Super man (kwa post hii tu.. Lol) kwa urahisi nenda katika shindano husika post kuwa wewe utakuwa mdhamini pia. Udhamini ni unlimited, yeyote anaruhusiwa. Asante saana kwa moyo wako wa kutoa. Pamoja saana.
 
Naomba nami niweke 20,000/- za kibongo kama inakubalika kuwa sponsor
mbona kidogo sana kwa hadhi yako na ukongwe wako hapa jf basi ongeza kidogo
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
 
Wala asipate tabu ya kufikiri sana, wewe chitchat ndio panakufaa, huwa nawafuatilia wewe na Gaijin hata sifa ya kuwa Jaji huna, basi tu kwakuwa Mkuu Superman amekuidhinisha wacha tu na iwe hivyo, lakini kwangu huna sifa sawa na Gaijin.

Mkuu, nimekusoma. Mimi kama mtoa mada na moja ya judgez kazi yangu kubwa ni kuratibu maoni yenu na kufuata haki bin haki. sina kura ya veto. Cha msingi ni kushindana kwa hoja na hoja itakayoshinda ndo itakayo prevail.

Kuweni huru mkuu.
 
Mkuu Nyani Ngabu na Kiranga hawafai kuwa majaji. siwezi kukupa sababu kwa sababu unawafahamu fika.

Mkuu hata kama tunawafahamu fika ni vema hoja za kuwakataa ziainishwe ili kutenda haki. Maana hawa pia wamependekezwa na wadau!
 
I mean hao ni watu serious, siyo dume ambalo linashinda MMU 24/7 ukasema aje kujaji mambo ambayo ni Hard talks, itakuwa ni vichekesho kumleta Mchambuzi jukwaa la siasa awe jaji.

AshaDii ndio Jaji pekee ambaye sina shaka naye na uwezo wake wa jukwaa lolote lile, anafit kila jukwaa.


Khaaa! Sikuona hii post... Taratibu Tanker... Hiyo ni speed kali saana. As much as waniona bora kama ulivo onesha hapo (Nashukuru); Hao watu ambao unaona hawafai ndio baadhi ya waliofanya nikapata heshima ya kuwa WoY 2012. Hizi kauli sio nzuri na za kukatisha tamaa huku kwa kweli umenifanya nisikie embarrassed. Tofauti ya wao na mimi ni kuwa nina muda mrefu wa kulitumia jukwaa kuliko wao. Mie nakuwepo mda mrefu hapa... Inafanya nionekane kama nina mchago mkubwa.

Kila mtu anastahii sifa kwa ule mchango anaotoa wa aina yoyore ile. Ushauri (kama utaupokea) maelezo na maoni kama haya hupendeza kutolewa kwa ujumla sio kutaja.
 
I mean hao ni watu serious, siyo dume ambalo linashinda MMU 24/7 ukasema aje kujaji mambo ambayo ni Hard talks, itakuwa ni vichekesho kumleta Mchambuzi jukwaa la siasa awe jaji.

AshaDii ndio Jaji pekee ambaye sina shaka naye na uwezo wake wa jukwaa lolote lile, anafit kila jukwaa.

Umesomeka Mkuu!
 
Ungeweza kuwapendekeza tu hao jamaa bila kuweka hayo maneno...vinginevyo ni dharau kwa majukwaa mengine na inaonyesha usivyojali 'social' part of your life. Life ain't just politics!

Ni kweli wakati mwingine ni vema kutumia lugha ya Kidiplomasia!
 
Back
Top Bottom