JF Competition 2012: Judges & Sponsors

JF Competition 2012: Judges & Sponsors

:A S soccer:
Haaaa haaaa Kungwi gfsonwin achana naye bana, kila kizuri anataka yeye. Sasa hivi yeye na AshaDii wako kwa Kaizer. Yaani ni dhambi kwenda mbele, si unajua mambo ya 3S mungu hapendi?

Kama vipi wewe Kibibi Poa uko Kidot.Com zaidi! Weka picha Mkuu!
nakuangalia tu hapa lol!
 
hahahahha! kumbe unaogopa tego sio??
but tukutane kule pande zile kwanza.

Sitaki wala sipendi Kunasana, halafu mi sipendu Ku-RIP.

Bado napenda kuishi. kama vipi uje na talaka mkononi! Haaaaa haaaa
 
Mimi pia najitolea kuwa Judge mkuu Superman..

Haaaa haaaa Mkuu mimi kwisa stukia wewe! Ushaona nimewavuta gfsonwin na AshaDii na wamenasa sasa unajitahidi na wewe ujichomekea huko?

Sikia bro hakuna haja ya mimi na wewe Kugombana. Mimi na wewe tumetoka mbali na hatukukutana barabarani. Cha maana kubali na sisi tuwe Waume Wenza kama wao walivyokubali Ukwe wenza. kampani ya Mtu Nne si mbaya.

kama poa mimi nakuweka Ujaji . . . . haaaaaa haaaaa! JF bana hadi raha!
 
Last edited by a moderator:

yaani hakya mbuzi tena nilipokuwa nasoma hii post nilinza kuimagine mtu anayeiandika yukoje nikaishia kucheka lol!
jf bana halafu watu wanaitwa baba na mama wakiwa nje ya hizi key board. ..................lolz!

sijutii kabisaaa kuwa mwana jf kwakeli....
 
gfsonwin hata mimi nimefumba macho kuwaza alichokiandika Superman kweli jf .......never boring....... by The Boss

Back
Top Bottom