Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,708
Wanabaraza wa JF na Wadau
Kufuatia mjadala uliopo: https://www.jamiiforums.com/habari-...-and-women-of-the-year-2012-competition.html; sasa tunasonga mbele zaidi ili kuhitimisha hatua nyingine ya mchakato huu.
Kitu cha msingi kwa sasa ni kuweza kupata Majaji 7 na pia Sponsors. Majaji hawa ndio watakoendesha mchakato wote wa mashindano haya kwa kuzingatia vigezo vyote ambavyo wadau mmependekeza. Kwa hiyo tunaomba sana mapendekezo zaidi ya Judges na pia Sponsors wajitokeze.
So far: Judges ni kama wafuatao:
Teamo; AshaDii; Superman
Updates: walioongezewa ni: SnowBall; Nyani Ngabu
Bado tunahitaji majina mengine ili kukamilisha list ya majaji 9 hadi 11. Please toa mapendekezo yako.
Mpaka sasa sponsors waliojitokeza ni:
Mamndenyi; mwaJ; Kyachakiche; Superman
Updates: waliojitokeza zaidi ni: Teamo; Bishanga; obama wa bongo; Zogwale; WABHEJASANA; Mwakalinga Y. R; Thanda
Bado tunahitaji sponsors zaidi wajitokeze kutoa zawadi mbalimbali.
Pia bado tunapokea maoni yenu kuhusiana na:
Kwa mwaka huu tunahitaji maoni na mapendekezo juu ya:
Wasalaam
Signed & Sealed:
Superman
Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)

- Categories za Majukwaa ya kushindaniwa au mapendekezo mbadala
- Utaratibu wa Mchakato wa kupata washindi
- Mchakato wa upigaji wa kura
- Mapendekezo mengine yoyote ya kuboresha.
Wasalaam
Signed & Sealed:
Superman
Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)
Last edited by a moderator: