Naomba nami niweke 20,000/- za kibongo kama inakubalika kuwa sponsor
karibu sana Mheshimiwa. Tegemea upinzani toka kwa mahasimu wako!
mbona kidogo sana kwa hadhi yako na ukongwe wako hapa jf basi ongeza kidogo
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
Asante mkuu... Naomba niseme kuwa what mattes ni kwa sasa kuwa lara 1 kakubali kujitoa ujudge na atakuwa mmoja wa washiriki wa kinyang'anyiro upande wa MMU na pia gfsonwin kisha confirm katika hii thread kukubali kutoka u-judge na kuwa mmoja wa washiriki wa MMU na Woman of the year 2013.
Pamja saana.
Superman kwanza kabisa naomba nirejee post yangu ya kwanza niliyotuma juu ya ushiriki wangu kama judge. mwanzoni niliona kabisa kwamba kuwa contestant na kuwa judge hakuwzekani wala fairness haitokuwepo. mind you hata kama katika position ninayogombea sitakuwa judge lkn majajai wenzangu wanaweza kuwa bias tu simply kwasababu am one of them.Je, unathibitisha sasa kuwa nikutoe katika U-Judge?
Superman kwanza kabisa naomba nirejee post yangu ya kwanza niliyotuma juu ya ushiriki wangu kama judge. mwanzoni niliona kabisa kwamba kuwa contestant na kuwa judge hakuwzekani wala fairness haitokuwepo. mind you hata kama katika position ninayogombea sitakuwa judge lkn majajai wenzangu wanaweza kuwa bias tu simply kwasababu am one of them.
sasa mnaniweka njia panda mm jamani nashindwa nisemeje hapa niwe judge ama niwe mshiriki?? lkn labda wanajamvi waamue kwani wao ndio wanaoniona kuliko mm nijionavyo wakisema nwe mgombea sawa niwe judge well and good.
Teamo na Superman punguzeni kunizibia riziki!!!!!!! Yaani mmeona nikishinda nitafaidi sanaaaaa! Embu mniache nishiriki kwa raha zangu, Ujaji mmeona mimi mzee?
Hapa niko busy kujipanga kushindania hizo tuzo! Tuzo ya ujaji ikiwepo nitashikri!!!!!! Hapa naanda compaign team my compaign Manager The Boss hayupo maskini Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu! Japo jina lake bado linanguvu!
Nimethibitisha kuwa nashiriki kugombea sio judge! Superman zigo lako hilo we songesha tu! Chezea udhamini kwenye tuzo!! ASHA Dii nimecomfim huku!
Zion Daughter shikamuu? Za siku tele?
Shiriki mwaya hawa wanataka ukose mijizawadi na wadhamini wanaongezeka,,Teamo na Superman punguzeni kunizibia riziki!!!!!!! Yaani mmeona nikishinda nitafaidi sanaaaaa! Embu mniache nishiriki kwa raha zangu, Ujaji mmeona mimi mzee?
Hapa niko busy kujipanga kushindania hizo tuzo! Tuzo ya ujaji ikiwepo nitashikri!!!!!! Hapa naanda compaign team my compaign Manager The Boss hayupo maskini Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu! Japo jina lake bado linanguvu!
Nimethibitisha kuwa nashiriki kugombea sio judge! Superman zigo lako hilo we songesha tu! Chezea udhamini kwenye tuzo!! ASHA Dii nimecomfim huku!
gfsonwin shiriki achana na ujudge title inahuuuSuperman kwanza kabisa naomba nirejee post yangu ya kwanza niliyotuma juu ya ushiriki wangu kama judge. mwanzoni niliona kabisa kwamba kuwa contestant na kuwa judge hakuwzekani wala fairness haitokuwepo. mind you hata kama katika position ninayogombea sitakuwa judge lkn majajai wenzangu wanaweza kuwa bias tu simply kwasababu am one of them.
sasa mnaniweka njia panda mm jamani nashindwa nisemeje hapa niwe judge ama niwe mshiriki?? lkn labda wanajamvi waamue kwani wao ndio wanaoniona kuliko mm nijionavyo wakisema nwe mgombea sawa niwe judge well and good.
Superman kwanza kabisa naomba nirejee post yangu ya kwanza niliyotuma juu ya ushiriki wangu kama judge. mwanzoni niliona kabisa kwamba kuwa contestant na kuwa judge hakuwzekani wala fairness haitokuwepo. mind you hata kama katika position ninayogombea sitakuwa judge lkn majajai wenzangu wanaweza kuwa bias tu simply kwasababu am one of them.
sasa mnaniweka njia panda mm jamani nashindwa nisemeje hapa niwe judge ama niwe mshiriki?? lkn labda wanajamvi waamue kwani wao ndio wanaoniona kuliko mm nijionavyo wakisema nwe mgombea sawa niwe judge well and good.
Fuata ile kitu roho yako inataka. Mzee Mwanakijiji alikataa kushindanishwa akiamini kuwa mchango wake JF tayari unaeleweka bila hata kushindanishwa!
kazi ni kwako!