JF Competition 2012: Judges & Sponsors

JF Competition 2012: Judges & Sponsors

Unajuwa vizuri kiswahili wewe? uso uko mbele au nyuma!?

Superman naomba ufafanuzi, je shindano hili ni la MMU au ni la JF nzima? kama ni JF nzima achana na kuongeza majaji kutoka MMU nenda majukwaa mengine kuna watu makini zaidi wa kufanya hii kazi.

Mkuu Speed Tanker hilo nalo neno. Thread hii iko jukwaa la Mchanganyiko ili tupate wadau mbalimbali toka majukwaa yote. Shida ni kuwa kila mtu ana interest na thread anayopenda so MMU so far naona ndo wanapenda zaidi hii thread ingawa honestly wanachangia pia majukwaa mengine. So shindano hili ni la JF nzima.

Kwa kuwa tuko katika Mchakato wa kupata Judgez, tutashukuru pia kupata maoni au mapendekezo yako so that we can move forward.
 
Last edited by a moderator:
Pia Mkuuu Superman ni bora mngesema ni zawadi za aina gani kwa kila category na thamani yake ili sponsors wajitokeze either kizawadi au kuchangia part ya zawadi. Pengine ungepata ushiriki wa sponsors zaidi maana wengine wanaogopa pengine tuzo/zawadi ni za gharama.

Mkuu Zogwale kama ilivyoainishwa katika thread iliyopita (refer post kuu ya uzi huu), categories zilizopo ni washindi wa majukwaa mbalimbali. last year zawadi zilikuwa ni TZS 50,000 kwa kila mshindi. Safari hii tungependa kuboresha zaidi.

So Sponsors tunaomba mjisikie huru ku-plege mnachoweza!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Superman in principle i have got no excuses with this, provided vigezo na masharti yamezingatiwa...Ila kuna mdau alisuggest kuwa wanaMMU wamekuwa wengi kwenye U-judge..i also concur with the idea, kama vipi panua wigo na kwenye majukwaa mengine!

Asante Mkuu. SnowBall naomba ukubali wako. gfsonwin, yumo ndani ya nyumba tayari.
 
Last edited by a moderator:
Superman utanisamehe kweli, si unajua maandalizi kidogo lazima yawepo, nina mambo kidogo yanahitaji kuwekwa sawa, next time twende tena tujipange kweli kweli hata tukifikia mahali wajue kuwa kuna watu walikuwako hapa, ila ukiamua unaweza kuwahi tu mkuu.

Mkuu umesomeka. Pamoja sana.
 
Sijaelewa gfsonwin... Naomba nieleweshe... Superman akupange wapi na mimi nikusamehe nini mamie?

Huyo mkewenza wako hataki muwe wote tena. Kisha ona kuna Superman anataka akutose wewe na Kaizer! Chezeye yeye wewe!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Zogwale kama ilivyoainishwa katika thread iliyopita (refer post kuu ya uzi huu), categories zilizopo ni washindi wa majukwaa mbalimbali. last year zawadi zilikuwa ni TZS 50,000 kwa kila mshindi. Safari hii tungependa kuboresha zaidi.

So Sponsors tunaomba mjisikie huru ku-plege mnachoweza!

Dah, Mkuu Superman naona nilimiss connection kumbe kuna thread anzilishi basi kama nilipita nitakuwa nimesahau, uzee huu wajameni. Count me katika Sponsors na nifahamishe jinsi ya kutuma mkishakubaliana.
 
Sijaelewa gfsonwin... Naomba nieleweshe... Superman akupange wapi na mimi nikusamehe nini mamie?

anipange katika position ambazo yeye alizi highlight na kuni- mention mm. but hatukuwa tumeelewana vzr b4. ndio nikamwambia basi achague yeye position anayoona mm nafiti zaid kisha anitoe kati ya wagombea wa hizi nafasi ili kuwepo na fair election.
 
mbona mimi niliahidi kuwa mfadhili lakini sijawekwa hapo!nilisha pm superman
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda

Mkuu, sikuona PM yako yoyote. Pia nilipokuuliza ulkisema ungemtoa binti yako kama zawadi na likaishia hivyo. so tulilichukulia kiutani zaidi. Lakini kama uko serious kama sponsors wengine, naomba ulithibitishe sasa!
 
Mkuu Speed Tanker hilo nalo neno. Thread hii iko jukwaa la Mchanganyiko ili tupate wadau mbalimbali toka majukwaa yote. Shida ni kuwa kila mtu ana interest na thread anayopenda so MMU so far naona ndo wanapenda zaidi hii thread ingawa honestly wanachangia pia majukwaa mengine. So shindano hili ni la JF nzima.

Kwa kuwa tuko katika Mchakato wa kupata Judgez, tutashukuru pia kupata maoni au mapendekezo yako so that we can move forward.
Kwenye jukwaa la siasa kama hawa wafuatao watapata muda na kukubali basi wanafaa sana mmoja wapo kuwa kwenye jopo la majaji.
Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mwita Maranya Mwana Mtoka Pabaya. hawa nawaamini wote vichwani wako timamu na hawafikirii namna ya kumfikisha Mwanamke kileleni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, sikuona PM yako yoyote. Pia nilipokuuliza ulkisema ungemtoa binti yako kama zawadi na likaishia hivyo. so tulilichukulia kiutani zaidi. Lakini kama uko serious kama sponsors wengine, naomba ulithibitishe sasa!
mimi obama wa bongo mwana jf mwaminifu natamka rasmi kuwa nitakuwa mdhamini halali wa jf competition 2012,nitaitetea na kuzilinda sheria zote za jf !(naongea haya nikiwa ni meshika kitabu kilicholeta vurugu mbaga LA)
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
 
anipange katika position ambazo yeye alizi highlight na kuni- mention mm. but hatukuwa tumeelewana vzr b4. ndio nikamwambia basi achague yeye position anayoona mm nafiti zaid kisha anitoe kati ya wagombea wa hizi nafasi ili kuwepo na fair election.
Wala asipate tabu ya kufikiri sana, wewe chitchat ndio panakufaa, huwa nawafuatilia wewe na Gaijin hata sifa ya kuwa Jaji huna, basi tu kwakuwa Mkuu Superman amekuidhinisha wacha tu na iwe hivyo, lakini kwangu huna sifa sawa na Gaijin.
 
Back
Top Bottom