Naomba nitoe TAHADHARI...
Kwanza niseme kuwa nasikitika saana kuwepo kwa
lara 1 kwenye list ya judges ya huu mchakato. Sababu nimesoma comments hata 10 threads mbali mbali wakimkubali saana na hizo comments zinaashiria kuwa anastahili kugombania huu mchakato. Lara is really good at what she does na ali deserve saana kuwepo kama contestant kuliko Judge (Ingawa kazi ya U-judge unauweza vizuri saana); Niliridhia na kuona sio mbaya sana wacha tu nikubaliane nalo.
Naona
gfsonwin anaongezeka tena katika upande wa ma judges.. (gf sorry sikusoma original post ya SM niliingia tu hii thread na kukujibu post ulo ni mention). Naomba TAFADHALI pokea ombi langu la kujitoa kwa ma judges na kubaki contestant... Nalizingumzia kama mmoja wa judges na pia kama Muwakilishi upande wa kina dada/mama mwaka huu 2012. Naomba ukubali hili ombi langu. WHY? Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa tuna akina dada wachache saana ambao wanatumia Jf ipasavo na kuwa na sifa stahili. Wengi wa wadada/mama ni wazuri saana kwa michango yao ila tatizo wapo limited tokana na sababu mbali mbali ambazo kila mmoja anazo.
Kama wanawake wote mtakuwa mnajitoa... Ina maana kutakuwa hakuna shindano la wanawake wa kuweza kuwakilisha vya kutosha. Au at teh end atakuwepo mmoja na asiwe na mpinzani. So far sasa hivi kwa uapande wa WoY wanawake ni
gfsonwin,
Kaunga,
Ciello.