gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Tichaa embu twende kwenye mpambano wetu wa kila siku OLD SCHOOL VS NEW SCHOOL/NEO MARXISTS!!!!!!! Inatakiwa ya kale yakutane na ya sasa!!!!!! Sasa usipokuwepo kule unafikiri itakuwaje! Ciello kuja pande hizi uongee na ticha!
hhahhah! sasa hapo ndo mtanange unapokuwa mkali wazee wa zamani Vs kizazi kipya lol! haya bana nimejivua ujaji ingawa niliupenda zaid.
haya sasa mzee mwenzangu Dark City, Asprin, FP Mwanajamii one na wengine wote bila kumsahau Wayne ma my swtlo Kaizer msikose kumpa sapoti mzee mwenzenu lol!
cc KakaKiiza, Mbimbinho, Eiyer, BADILI TABIA, nyumba kubwa, sweetlady, figganigga, @,mtambuzi,LCD, SnowBall, snowhite cacico, Paloma, The secretary, Bishanga, Superman, Allien, @sacstus mtsimbe, platozoom Ronn M , jeneneke King'asti, Kongosho Arushaone, paka jimmy @st paka mweusi Young_master Mkereketwa Kaunga et el
Last edited by a moderator: