JF Competition 2012: Judges & Sponsors

JF Competition 2012: Judges & Sponsors

Mkuu kwa niamba ya Super man (kwa post hii tu.. Lol) kwa urahisi nenda katika shindano husika post kuwa wewe utakuwa mdhamini pia. Udhamini ni unlimited, yeyote anaruhusiwa. Asante saana kwa moyo wako wa kutoa. Pamoja saana.

Nimeshapost sasa sijapata majibu.
 
Naomba nitoe Tahadhari kwa mfumo wa ombi pia...

Kwanza niseme kuwa nasikitika saana kuwepo kwa lara 1 kwenye list ya judges ya huu mchakato. Sababu nimesoma comments hata 10 threads mbali mbali wakimkubali saana na hizo comments zinaashiria kuwa anastahili kugombania huu mchakato. Lara is really good at what she does na ali deserve saana kuwepo kama contestant kuliko Judge (Ingawa kazi ya U-judge unauweza vizuri saana); Niliridhia na kuona sio mbaya sana wacha tu nikubaliane nalo.

Naona gfsonwin anaongezeka tena katika upande wa ma judges.. (gf sorry sikusoma original post ya SM niliingia tu hii thread na kukujibu post ulo ni mention). Naomba TAFADHALI pokea ombi langu la kujitoa kwa ma judges na kubaki contestant... Nalizingumzia kama mmoja wa judges na pia kama Muwakilishi upande wa kina dada/mama mwaka huu 2012. Naomba ukubali hili ombi langu. WHY? Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa tuna akina dada wachache saana ambao wanatumia Jf ipasavo na kuwa na sifa stahili. Wengi wa wadada/mama ni wazuri saana kwa michango yao ila tatizo wapo limited tokana na sababu mbali mbali ambazo kila mmoja anazo.

Kama wanawake wote mtakuwa mnajitoa... Ina maana kutakuwa hakuna shindano la wanawake wa kuweza kuwakilisha vya kutosha. Au at teh end atakuwepo mmoja na asiwe na mpinzani. So far sasa hivi kwa uapande wa WoY wanawake ni gfsonwin, Kaunga, Ciello.

Tahadhari ya pili... Mkuu Superman I don't mean to be selfish.. Ila kwa wepesi wa hiii kazi kuwe na limits za judges. The more the judges the more the complication. Waongezeke wafadhili washindani wapate zawadi za maana; ila judges wawepo wa kutosha idadi utayo amua mradi kuwe na rules na guidelines ya maamuzi.
AshaDii uliyoyaandika yana ukweli ndani?

Suala ni Je; mtu akiwa Judge haruhusiwi kuwa Contenstant? Au anaruhusiwa ila katika shindano husika hataruhusiwa kuwa Judge?

Kuna fact kuwa lara 1 alipenda kuendesha shindano hili Mwaka huu. Unfortunately hakuwa anajua kuwa huwa linaendeshwa kila mwaka toka 2009. Nilipopata habari nilifurahi na ilikuwa kusudio langu kumkabidhi mikoba ili niweze kustaafu. Ila its few weeks now toka hoja hii iletwe kwangu sijamsikia Lara 1 wala maoni yake ingawa mawasiliano ya kimsingi yamefanyika.

That being the case I am taking kuwa ama yuko busy sana ama hayuko interested of which tusipopata uthibitisho wake itabidi tumtoe katika list ya judgez ambayo awali niliombwa ahusishwa na kukubali kwa heshima kuu.

Kuhusu yeye kuwa contestant of course wengi tunamkubali hasa katika kuanzisha threads ambazo zinachangamsha jamvi.

so, let us leave the balls to lara 1 na gfsonwin ili tusikie maoni yao!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu embu nieleweshe hapo tuna sponsour nini? Btw I can sponsour nikipata uelewa wa kile ninachosponsour. Asante.
 
Mkuu Superman in principle i have got no excuses with this, provided vigezo na masharti yamezingatiwa...Ila kuna mdau alisuggest kuwa wanaMMU wamekuwa wengi kwenye U-judge..i also concur with the idea, kama vipi panua wigo na kwenye majukwaa mengine!

Kamanda ubarikiwe sana. tuko pamoja!
 
Dah, Mkuu Superman naona nilimiss connection kumbe kuna thread anzilishi basi kama nilipita nitakuwa nimesahau, uzee huu wajameni. Count me katika Sponsors na nifahamishe jinsi ya kutuma mkishakubaliana.

Mkuu @Zongwale asante sana na ubarikiwe. Ngoja ni update list.
 
AshaDii dada mkubwa mie najitoa basi miongoni mwa majaji ili kuheshimu mchango wako. ila sasa kuna wengine sio memba wa jukwaa moja hivyo u judge ndio ungekuwa mzuri zaid kwetu. kuliko kuwa miongoni mwa washiriki. kumbuka sinaga jukwaa ambalo nimebobea zaid huwaga naruka ruka tu majukwaa yote

Je, unathibitisha sasa kuwa nikutoe katika U-Judge?
 
Nakushukuru saana dearest.... Asante kwa kuheshimu hilo.

Unasema kuwa huja base kwenye jukwaa moja, ni ngumu wewe kujiona labda siwe watazamaji zaidi... Sijui kama nitakosea wengine watanikosoa ila jukwaa lako kubwa ni MMU (nadhani ndio maana waitwa na kujiita kungwi) - angalia threads zako nyingi ni zipi; Jukwaa lako ka pili kwa matumizi ni Chit Chat (mashoga zako wote wapo huko... Lol); Then ndio yanafuata Siasa, photos, Chef, n.k.

Again... Nashukuru saana. Pamoja sana mdogo wangu. :A S 11:

Mkishakubaliana mnipe Summary!
 
Je, unathibitisha sasa kuwa nikutoe katika U-Judge?

naomba umtoe tu mkuu....

lakin pia i was of the opinion that hii id ya lara1 hii....!hii naona ina nyota yake na ni bora ukafikiria kuirudisha iwe competitor
 
Mkuu samahani naomba kuwa mdhamini,halafu kuna shindano lingine linaendelea kuna mhusika wa hilo shindano nilisema pia nataka kuwa mdhamini lakini naona kimya hebu tujulishane bana unajua wengine tunapenda kushiriki kwenye vitu hivi kwa sababu ndio kwana tuna miezi kama minne tu humu Jamvini kwa hiyo tunaomba na sisi muwe mnatujali na kutukumbuka,tunachohitaji ni kushare na wenzetu katika mazuri wanayoyafanya kama hili Mkuu.

Mkuu nashukuru sana kwa kujitosa. Sina uhakika na shindano lingine linaloendelea, maana so far najua mashindano haya yanameanza toka 2009. Si vibaya tukijua kinachoendelea katika threads zingine.

Naliongeza jina lako katika listi. Ubarikiwe!
 
AshaDii uliyoyaandika yana ukweli ndani?

Suala ni Je; mtu akiwa Judge haruhusiwi kuwa Contenstant? Au anaruhusiwa ila katika shindano husika hataruhusiwa kuwa Judge?

Kuna fact kuwa lara 1 alipenda kuendesha shindano hili Mwaka huu. Unfortunately hakuwa anajua kuwa huwa linaendeshwa kila mwaka toka 2009. Nilipopata habari nilifurahi na ilikuwa kusudio langu kumkabidhi mikoba ili niweze kustaafu. Ila its few weeks now toka hoja hii iletwe kwangu sijamsikia Lara 1 wala maoni yake ingawa mawasiliano ya kimsingi yamefanyika.

That being the case I am taking kuwa ama yuko busy sana ama hayuko interested of which tusipopata uthibitisho wake itabidi tumtoe katika list ya judgez ambayo awali niliombwa ahusishwa na kukubali kwa heshima kuu.

Kuhusu yeye kuwa contestant of course wengi tunamkubali hasa katika kuanzisha threads ambazo zinachangamsha jamvi.

so, let us leave the balls to lara 1 na gfsonwin ili tusikie maoni yao!

Asante mkuu... Naomba niseme kuwa what mattes ni kwa sasa kuwa lara 1 kakubali kujitoa ujudge na atakuwa mmoja wa washiriki wa kinyang'anyiro upande wa MMU na pia gfsonwin kisha confirm katika hii thread kukubali kutoka u-judge na kuwa mmoja wa washiriki wa MMU na Woman of the year 2013.

Pamja saana.
 
...ama ana id nyingine anaitumia kwakuwa tu HAYUKO INTERESTED...!which is not fair to the jf members...she has to come out
 
Ishu ya ID nyingi na upigaji kura itakuwaje. Maana kadri zawadi na umaarufu wa shindano unavyoongezeka ndivyo "tafrani" litavyoongezeka.

Mama mkwe AshaDii na Superman mmeshalielezea hili?
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu... Naomba niseme kuwa what mattes ni kwa sasa kuwa lara 1 kakubali kujitoa ujudge na atakuwa mmoja wa washiriki wa kinyang'anyiro upande wa MMU na pia gfsonwin kisha confirm katika hii thread kukubali kutoka u-judge na kuwa mmoja wa washiriki wa MMU na Woman of the year 2013.

Pamja saana.

:grouphug: - Pamowjer Saana - :grouphug:
 
...ama ana id nyingine anaitumia kwakuwa tu HAYUKO INTERESTED...!which is not fair to the jf members...she has to come out

Kulikuwa na mis understandings.... She is interested na kakubali kuwa mmoja wa wangombea. Tusubiri tu aje na mikeke yake a confirm. Seems hakuwa karibu na access.

Salamu zilizojaa upendo kwako Teamo... Happy holidays.
 
Back
Top Bottom