marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,660
Msalimieni Charles Mbuya hapo! !
Yuko Zenj sio Dar
Msalimieni Charles Mbuya hapo! !
Oh no!!!! si unajua tena mambo ya Valentine na furaha za kushtukiza?
Huyu binti anatakiwa kujieleza kwangu.....muite aje kipande hii
Haina mbaya best...endeleeni kufurahia siku ya Wapendanao!
measkron.....ukiona ujumbe huu tafadhali respond.wewe Vin Diesel ndo tukuulize shida nini mwanangu charminglady anatoa machozi....
Vin Diesel.....ndo naondoka hapa Serena nakuja kukujoin...si unajua tena wewe ndo Valentine wangu wa ukwee!!!
Hapa tukimaliza tunaenda kusongesha kwa MJEDA pande za mwananyamala LEO TUPO HAPA PUB
Poa mpe hi SambaiYuko Zenj sio Dar
naomba kukuuliza swai wewe umejiunga juzi tu umesha pajua leo tupo hapa pub?? kwa siku tatu na post zako 50 umesha make friends na kuwa mwenyeji kiasi hiki?? samahan kama ntakuudhi mpendwa
Jesca,
Natia timu
Nikija hapo naweza pata hubby waa kuniliwaza?
Samahani mkuu.... Hapo kwenye RED ulimaanisha nini??? Huenda sikuelewa!!!!
naomba kukuuliza swai wewe umejiunga juzi tu umesha pajua leo tupo hapa pub?? kwa siku tatu na post zako 50 umesha make friends na kuwa mwenyeji kiasi hiki?? samahan kama ntakuudhi mpendwa
Lol! usijali, ilo neno hapo nililiandika kutokana na mtu alikua ananiita ivyo nikajikuta naliandika
ah ah ah...!
Hawa baada ya kutoka serena naona wameludi makwao, hapa kwa Mjeda nimetoka kama dk 15 zilizopita hawapo
Mh...mh.... mh.... Inawezekana kweli?????? Mwanaume atake mme wa kumliwaza????
Anyway nimekuelewa......
Mh...mh.... mh.... Inawezekana kweli?????? Mwanaume atake mme wa kumliwaza????
Anyway nimekuelewa......