Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha ha haaaa, yaani nimeshaanza kumvutia picha yake itakavyokuwa, lol!Hahahaaa achana nae kwanza anaonekana macho juujuu sana hadi anaingia anga za kimataifa lol
Tena akijaribu kwako ndio nayakuza masaburi yake yawe makubwaaaaa zamani tulikuwa tunayaita WOWOWO
Hahahahaaa kidume kitakuwa knatingisha kikitembea heheheeee FP balaaa
Hahahaaa achana nae kwanza anaonekana macho juujuu sana hadi anaingia anga za kimataifa lol
Tena akijaribu kwako ndio nayakuza masaburi yake yawe makubwaaaaa zamani tulikuwa tunayaita WOWOWO
Hahahahaaa kidume kitakuwa knatingisha kikitembea heheheeee FP balaaa
Hahahahaaa ndio akome kuvizia viziamwanaume na masaburi makubwa..mh!...i cant imagn
Don't wait for the Perfect Moment,ha ha haaaa, yaani nimeshaanza kumvutia picha yake itakavyokuwa, lol!
kweli wewe kiboko
umeiona eeh!Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect
Mtei , huyu mtoa mada ana 4 days tangu amejoin Jf but anapost 77 ! Within that 4 days!
Anatisha !
Hahahahaaa ndio akome kuvizia vizia
Copy kwa Vin Diesel
wasalimie na usitegemee kuludi chitchat,tutakulushia mawe!
Teh teh..acha uchokozi
Tena akiludi huku tutamlushia vitu vyenye ncha kari!!!!
Afu una akili wewe,Ungekuwa hujaoa..........Kweli kabisa yani uliyosemawe huoni kama ni msanii huyo, haiwezekani mtu achanganyaye matumizi ya "r" na "l" akafanya double confusion...
Mathalani neno Rudi aandike ludi, lakini neno safari apatie na kuandika safari. Halafu yote hayo anayafanya katika sentensi zinazoambatana...hahahah somebody is tryin to hide his/her identity
Afu una akili wewe,Ungekuwa hujaoa..........Kweli kabisa yani uliyosema
Ni PM basi huyu ni nani...Hawa vijana wanaoruka ruka sarakasi wakati wamevaa taulo hapa huwa nawaangalia tu...
Halafu sijui wana undugu, maana nahisi wote wawili keyboard zao zina-miss herufi "r"...
Halafu sijui wana undugu, maana nahisi wote wawili keyboard zao zina-miss herufi "r"...
Ni PM basi huyu ni nani...
Hahahaaaaa.... daddy u make me laugh "kiibod zao zinamiss herufi "r"