Jf Chit Chat duh!

Huku ni wa baguzi, na hata baadhi ya member wa kudumu humu wanaona kama ni jukwaa lao, tofauti na jukwaa la siasa kule kinacho angaliwa ni ma point unayotoa mkuu, ukitoa pumba unapotezewa tu.
Usikimbie ndugu, hatung'ati, taratibu utapazoea, mbona mie siasani sikomi, wakiniudhi nawachana napigwa ban nikitoka naenda tena hadi sasa wameshanizoea,
 
kweli kifo kiko karibu...nimekoswa koswa ss ivi na vurugu za hawa waandamanaji....ilibaki kidogo tu wajeruhi mguu wangu..
 
Ponda...ss wafuasi wake walikua wanaandamana kinyume cha sheria kwa makundi madogo madogo kwenda ofc za DPP sukari house..
Tatizo nini? siunajua si wengine vyombo vya habari viko mbali
 
Ponda...ss wafuasi wake walikua wanaandamana kinyume cha sheria kwa makundi madogo madogo kwenda ofc za DPP sukari house..
Mh poleni sana!
Nimekuelewa mimisa
Asante sana!
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaa, mwoneeni huruma bwana.....
Hahahaaa achana nae kwanza anaonekana macho juujuu sana hadi anaingia anga za kimataifa lol
Tena akijaribu kwako ndio nayakuza masaburi yake yawe makubwaaaaa zamani tulikuwa tunayaita WOWOWO
Hahahahaaa kidume kitakuwa knatingisha kikitembea heheheeee FP balaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…