"Wakati tunaelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa tanganyika, jeshi limeandaa gwaride, maonesho ya ndege za kivita, n.k" wananchi mnakaribishwa wote kushirikiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa kesho Novemba 30, 2021 litafanya mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko maalum.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano ilipokuwa makao makuu ya jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam saa nne asubuhi.
Vyombo vyote vya habari vinaalikwa.
View attachment 2027686