Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Dahh noma sana naona hapo wakibandua inatoka na rangi Original ya plate numbers kutokana na Super Glue waliyotumia kuweka mwanzo hizo 3D..

Kitu ambacho naona itagharimu mwenye gari kufanya process za kutafuta kibao kipya ili namba namba herufi zote zisomeke vizuri.
 
tanzania_buses_daily_1709109509573966.jpg


haya mjiandae na fine za mchongo.
 
Back
Top Bottom