Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,069
40,732
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?
IMG_8876.png


==========================

Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d

=========================

Kuna wengine wanaweka

KUNA MTU MAALUM KAMPUNI MAALUM SOON ATAANZA YEYE KUZIWEKA HIZO 3D NUMBERS PLATE
WANAZUNGUKA TU MBUYU HAO

ova
==========================
B62D39D1-B40E-4CE1-B938-D6F47F1CFF32.jpeg
 
Hutakiwi kubandua, unatakiwa kurudi kwenye macamuni yanayotoa hizo number, nenda na card yako ya gari na number ulizoziharibu, utalipia 30,000. Na kupewa number mpya zenue viwango, hizo ulizozibandua kisheria hazisomeki.
 
Hivi mnaposema hazina viwango


Mnakuwa mnamaanisha nini?
Nilimsikiliza siku moja mkuu wao wa kikosi akisema torch na camera zao hazizi-detect hizo namba wanapofanya makosa mbalimbali barabarani.

Alisema hata nchi zinazoendelea bado wanatumia 2D kwa sababu ni rahisi kuziakisi lakini mwisho akasema kama TRA watazipitisha wao hawana shida nazo so inawezekana kuna mgongano wa kimaslahi kwamba sirikali inataka yenyewe i-control soko lake tofauti na sasa kila mmoja anaweka.
 
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?View attachment 2938786
Ni ushamba uliopitiliza kubandika ma plastic mbele ya namba ambayo imeandikwa kitaalamu na madini yanayo reflect mwanga. Wewe kwa ulimbukeni wako unakuja kubandika makorokocho yanayofanya muundo wa herufi ubadilike. Ningekuwa Mimi ni serikali ilikuwa nikikukanata umejaribu plate number kwa kubandika hayo ma.plastik ni jela miezi 6 ili ukajifunze nidhamu. Jinga kabisa.
 
Ni ushamba uliopitiliza kubandika ma plastic mbele ya namba ambayo imeandikwa kitaalamu na madini yanayo reflect mwanga. Wewe kwa ulimbukeni wako unakuja kubandika makorokocho yanayofanya muundo wa herufi ubadilike. Ningekuwa Mimi ni serikali ilikuwa nikikukanata umejaribu plate number kwa kubandika hayo ma.plastik ni jela miezi 6 ili ukajifunze nidhamu. Jinga kabisa.
Huu ni umasikini uliopitiliza, ukianzia kichwani kushuka chini
 
Najua Police excuse yao kubwa ni namba hazisomwi na camera zao wanaotegesha zisome madeni etc.

Ila twende na technology, Police wanatakiwa wawe na magari ya patrol ambayo yapo equiped na ANPR cameras (Automatic Number Plate Recognition Cameras). Ambayo inafanya kazi kama zile camera zao wanazotegesha njiani zina detect magari yasio na bima, yenye madeni na yenye uharifu.
images (6).jpeg

Issue ya kuzingizia 3D numbers ñi kwasababu vifaa vyetu vipo outdated sana.

Baadhi ya Nchi zilioendelea wameweka 3D numbers kama premium option tu kwa magari, na wala haikatazwi.
Screenshot_20240319-105840.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom