Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

Kwa Kifupi sana, Waisrael Zamani walitekwa na kwenda kutumikishwa ulaya kama Waafrika walivyofanywa, na wapalestina ni kama wamasai walivyoingia kenya na nchi nyingine.
Asante sana Mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Dunia nzima waislam akili zao ni moja wanawaza fujo mda wote kuua kuandamana kujitoa mhanga.

Kusingekuwepo uislam tungekaa kwa aman sana ila nashukuru mungu aliwapa nguvu Israeli, na wazungu maana wanashughulikiwa kisawa sawa very good.
Pole sana chief.
 
Mbn dunia kubwa kwann wasiende kuishi hata araska auko au austrial waombe wakaishi uko kila siku wanapigana kuigombania iyo ardhi ina nn iyo ardhi???
 
Dunia nzima waislam akili zao ni moja wanawaza fujo mda wote kuua kuandamana kujitoa mhanga.

Kusingekuwepo uislam tungekaa kwa aman sana ila nashukuru mungu aliwapa nguvu Israeli, na wazungu maana wanashughulikiwa kisawa sawa very good.
Poor reasoning guy,
Pole sana hujui dunia ya propaganda inavyoendeshwa.Uislamu siyo fujo,kuua wala siyo kuandamana bali haya yametengenezwa na watu wenye malengo mabaya dhidi ya uislamu (Samahani ukiwemo na wewe).

Uislam maana ake ni "PEACE'' hivyo ondosha dhana mbaya yenye chuki na ujifunze uislam then urudi hapa kwa mara nyingine.
 
Waislamu wapi watz ambao hawafanyi hayo?

Ukikuwepo enzi za utawala wa JK wewe?

Unafikiri wale mashehe waliopo mahabusu ni kwasababu wavaa kanzu ndio maana wako pale?

Unaikumbuka ishu ya kuchinja iliyotokea kule mwanza na kuanza kusambaa nchi nzima?

Magufuli ndio alikuja kuwakomesha ila tulikuwa tunaelekea huko huko.
Nimekwambia ksome uislamu kwanz

Maana katika vyote ulivyovitaja hakuna hatakimoja kilicho idhinishwa na uislamu hapo

Vyote hvo vimekatazwa so kbla ujaanza kuongelea dini ya mtu unabidi uisome uielewe then ndo uje kujudge
 
Historia yao naijua vizuri na nimeisoma kwa pande zote,Ukirudi kwenye historia ni lazima imani za kidini ndio zihusike,kwa hivyo nikiangalia kwenye misingi ya dini.Taifa la Israeli lina wakazi jumuishi ambao wayahudi ni 75%,waislamu ni 17%,wakristo ni 2%,wasamalia,wabahai na imani ndogo ndogo wao ni 6% na wanaojimbulisha kama wapalestina ni takribani 60%ya waislamu,43% ya wasamalia,32%ya wakristo na 6% Ya Wayahudi.Hapo utaona jinsi wayahudi walivyo wameza hao wengine kwa idadi na ndio watawala wenyewe nguvu kwa miaka mingi maeneo hayo huku wakimilki idadi kubwa ya ardhi .Kwa hiyo nikifuata misingi ya dini lazima Imani kubwa hapo ni wayahudi na ndio watawala wa miliki yote ya Israeli kama taifa na Palestina inabaki mamlaka ndani ya Israeli.
Soma history kipindi UN anagawanya hyo Palestine na kuform Israel 1948

Wapalestine walkuwa wengi na wakapewa eneo dogo kuliko jews ambao walikuwa wachache

Na tangia hapo majews walikuwa wanaexpand mpka sasa inaonekana kma Palestine hamn nchi

Ndomn nikakwambia weka udini pembeni
 
Poor reasoning guy,
Pole sana hujui dunia ya propaganda inavyoendeshwa.Uislamu siyo fujo,kuua wala siyo kuandamana bali haya yametengenezwa na watu wenye malengo mabaya dhidi ya uislamu (Samahani ukiwemo na wewe).

Uislam maana ake ni "PEACE'' hivyo ondosha dhana mbaya yenye chuki na ujifunze uislam then urudi hapa kwa mara nyingine.
Unatetea upumbavu mjinga wewe wale waliokua wanachoma makanisa zanzibar kipindi cha kikwete si waislam mara ngapi waliondamana na kuleta fujo kisa mtoto kakojolea quran si waislam mara ngap ma padri wame pigwa risas na kumwagiwa tindikali zanzibar au wale mashekh wa uamsho gerezani wako pale bure??
 
Nimekwambia ksome uislamu kwanz

Maana katika vyote ulivyovitaja hakuna hatakimoja kilicho idhinishwa na uislamu hapo

Vyote hvo vimekatazwa so kbla ujaanza kuongelea dini ya mtu unabidi uisome uielewe then ndo uje kujudge
Kwa hiyo wale wanaovifanya huwa ni watu wa dini gani?

Au kuna dini 2 za uislamu?
 
Unatetea upumbavu mjinga wewe wale waliokua wanachoma makanisa zanzibar kipindi cha kikwete si waislam mara ngapi waliondamana na kuleta fujo kisa mtoto kakojolea quran si waislam mara ngap ma padri wame pigwa risas na kumwagiwa tindikali zanzibar au wale mashekh wa uamsho gerezani wako pale bure??
Shida kubwa uliyonayo mkuu ni kwamba uko too general, hebu jaribu kwenda taratibu na ujiulize kwa nn hayo hutokea.

Zaidi ya hapo kuna uislamu as a religion na kuna muislamu as a person likewise kuna ukristo/uyahudi as a religion na christian as a person kwa hiyo hukumu kwa kuutazama uislamu na siyo muislam.

Kam hujaelewa njo mkuu.
 
Uislam ni ugaidi full stop,
 
Uislam ni ugaidi full stop,
Bado hujaelewa pia naona hupendi kujifunza.
Kwa bahati mbaya inawezekana uko mweupe sana katika terminology za ugaidi na zenye mfano wake.
Tenga muda ujifunze dunia inavyoendeshwa usije kuua ndugu zako kwa kuwaita magaidi ilihali siyo katika hao unaowadhania.

Ukitaka kumuua mbwa muite jina baya.
Mchana mwema mkuu ila karibu nikujuze kuhusu uislam labda utajiweka seheme huru na kuepuka chuki isiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom