Ukweli kuhusu Wayahudi

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,411
Kuna uongo na Propaganda inaendeshwa na inapamba moto Kwa hasa haya makanisa ya kipentekoste ,wanadanganywa hawa kina Nentanyau ndio waisraeli ,ukweli huo ni uongo mkubwa ,Leo nitakupa mwanga kidogo ,mengine ukatafiti mwenyewe

Hawa wanaojiita israel Leo kihalisia ni waongo ,hawa wanatokea khazarian mashariki mwa Israel, hawa ndio Gogu na Magogu waliotajwa na nabii Ezekiel sura ya 38.

Baadae walihama baada ya khazarian empire kuanguka ,wakatawanyika na kwenda ulaya ,na maeneo mengine ,

Walipooenda Israel walipata nguvu kubwa sana ,na wakashika Serikali ,ukiangalia alama ya zaman ya khazarian ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya hawa kina Nentanyau,ni alama ya Hexagram yenye ncha 6

View attachment 2858834
Wajinga wanadanganywa ni nyota ya Daudi

Unakuta makanisani ,wachungaji na maaskofu Wana phd wameiweka madhabahuni

Hiyo alama ni ya kipagan kutoka enzi za khazarian empire,na ni Moja ya alama za freemasons

View attachment 2858828

Angalia raman hapa ya khazarian utaona na alama yao ndio hiyo hiyo ipo kwenye bendera ya Sasa ya Israel.

Biblia inasema katika ufunuo

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Unaona Biblia inatuonya kuna wayahudi fake wanajiita wayahudi Original

Hawa ndio wanafanya hata matamasha ya ushoga pale Tel Aviv ,hawa Kwa kujificha wanajiita Zionism

Wayahudi halisi wapo wachache sana pale israel wengine ni wale wakiroho wanaotajwa na biblia wale wanaorithi ahadi za ibrahimu

Pale israel kuna upinzan mkubwa sana kati ya Wayahudi halis na hawa Zionist ambao ndio Khazarian au Ashkenazi ,

Ingia YouTube andika Zionism vs Judaism utaona jinsi Wayahudi halisi wanavyowapinga hawa kina Nentanyau,

Tatizo Judaism pale israel wapo wachache sana ,ndio maana ni ngumu kujua huu upinzani, media zinawapumbaza na vita za Jews vs palestina na kuambiwa muwabariki Israel hawa kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale Tel Aviv na Jerusalem.

View attachment 2858829

Hawa Khazarian ndio Gogu na Magogu wanatokea pale pale Urusi ,Wakati Nabii Ezekiel anatabiri kuhusu Gogu na Magogu kwenye kitabu Cha Ezekiel 38 ,akisema watapigana na Israel siku za mwisho, kwasasa walisha migrate na wamejificha pale pale israel ,na Sasa wanadanganya watu wao ndio Israel halisi .,na Urusi ni upagani.

View attachment 2858830View attachment 2858831
Inasikitisha sana humo makanisani watu wameweka bendera yenye alama za kipagani ,
View attachment 2858832View attachment 2858833
 
DNA inasema ni waisrael wewe unasema sio kwa maneno matupu tanzania ina safari ndefu sana
 
Wayahudi halisi sio hao kina Nentanyau, wayahudi halisi wapo wachache na wanawapinga hao kina Nentanyau wanaofanya matamasha ya ushoga pale israel
images.jpg
images%20(1).jpg
 
DNA inasema ni waisrael wewe unasema sio kwa maneno matupu tanzania ina safari ndefu sana
Hao uliwapima wapi, Hawa kina Nentanyau wametokea Khazarian,hata bendera ya Israel ya Sasa ina alama ya Hexagram ndio hiyo hiyo ilikuwa alama ya khazarian empire

Kwa upumbavu wenu mnaiweka hiyo bendera makanisani

Hiyo alama pia ni Moja ya alama ya freemason
images.jpg
 
Watu wengi wapo gizani hawajui hilo...... Kanisa la magharibi lilitoa kitabu cha enoch makusudi maana walikua wanawaficha hao gogu na magog ila kanisa la mashariki(orthodox) lina hicho kitabu
Yah wali migrate wakahamia ulaya na marekani , ndio hao Sasa wanajiita Zionists yaani wazayuni ,Kwa harakaharaka watu wanajua ndio wayahudi halisi kizazi Cha Yakobo

images%20(3).jpg
 
"Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani".

Si akina Netanyahu tu ndiyo uibua madai ya kujihita wayahudi..kuna waarabu wapalestina nao ujiita wayahudi.
Na wana watetezi wao hapa Jf. Sasa labda ueleze ni kwa namna ipi ili andiko linawalenga akina Netanyahu na sio hao wengine tu?.

Mamilioni ya sample za DNA yanaonyesha scientifically proven kuwa Ashkenazi Jews (kama wenzao Sephardi & Mizrahi brothers & sisters) originate kutoka Levant (Israel).

Ashkenazi Jews walihamia Rhineland magharibi mwa ujerumani kati ya 800-900 CE.
Na wamekuwa wakiongea Yiddish kwa zaidi ya millenia, lugha ambayo imechangamana na kiebrania orijino..so,kuniambia kuwq walijiingiza kwenye uyahudi na kujifunza hizo lugha lugha ili kufool ulimwengu nitakataa.

Kuna nadhalia nyingi sana kuhusu hawa wayahudi, mimi nimechagua kuamini kuwa hawa ndiyo wayahudi wenyewe.
 
Back
Top Bottom