Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

Kwa asili Israel ni nchi ya wyahudi tangu enzi hizi. hawa WAPALESTINA walihamia tu baada ya kunogewa kwani walikuwa wakipita kama wachuuzi. Soma vitabu vitakatifu utaona hili
 
Muulize Prof. Lipumba alipata kuandika na hata Kutetei Manyanyaso na Uonevu wa waislael kwa Waperestina...I am sure Prof.Lipumba can tell the story..
Hajaulizwa Prof Lumumba, ameuliza humu kama hujui wewe nyamaza tu.
 
Akina Ibrahim, Isaac, Jacob, Joseph na wake zao woote walizikwa kwenye ardhi hiyo hiyo sasa leo inakuwaje sio ardhi yao?

Zama hizo kuna jamii zingine ziliishi hapo sambamba na waisraeli na hata wengine waisraeli waliwakuta hapo lakini leo hii hazipo ziliishakuwa "Extinct" lakini waisraeli wapo.

Huu uhalisia ni kitu ambacho wapalestina pamoja na mataifa mengine yanayowafagilia kama Iran na Uturuki hawataki kuuzungumzia bayana na badala yake wanaamua kuwa wanafiki.
 
JamiiForums331506260.jpg
 
Back
Top Bottom