SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 881
- 1,720
REST IN PARADISE
Utajua mwnywUsiwasemee Watanzania wote.
Jisemee peke yako.
😂Tangu awamu ya Kikwete sidhani kama amewahi kuwa nje ya baraza la mawaziri.
Israel itakuwa kasilimu kwa muktadha huo.(Narrow thinking and Mind)🙆🏽♂️📍Naona wanakufa wakatoliki tu,Magufuli,Mkapa,Membe,Mpango alinusurika..hivi ni vita ya kidini sasa🤣🤣🤣
Hatimae litafika tu mahali sahihi.Acheni Mungu aitwe fundi, ila nafikiri kombora limekosea target lilikokuwa limetumwa
Unamlilia wewe na mume wako, Acha kutusemea sisi wengine hatutaki huo upumbavu.Apumzike kwa amani. Tunakulilia Jenista.
Uwaziri wake wa Afya unahusikaje na kifo chake?Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
Mortuary zilijaa wafu....ushahidi ICCUwaziri wake wa Afya unahusikaje na kifo chake?
😁 😁Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!
Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!
Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
Rhabhekhaaaaa
MnooooNi tajiri