Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,400
- 102,501
Akapumzike anapo stahili
Mbaga Jr hua anaziacha wapi akili.. tangu asubuhi unacheka cheka tu.. Kama umeamka na furaha za kutosha leoWatanzania wote tumefurahi
😀Akagale gale mbinguni amshukuru Mungu kama alivyogalagala kule jimboni kwake akimsujudia Ibilisi wa kijani!
Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!
Shetani Hana rafiki!!
Akili kama hizi utazikuta kwa wafuasi wa s100 tuThibitisha kwani kifo sio jambo la kushangaa.
Rest in peace Mama. Pressure za kuchambua sababu za kukosa uwaziri.You should have taken it easy mama.It was life. Sleep easy Mama Jen.
Kwa uzoefu wake hiyo sio sababu.Rest in peace Mama. Pressure za kuchambua sababu za kukosa uwaziri.You should have taken it easy mama.It was life. Sleep easy Mama Jen.
Umaskini ni nusu ya uchawi ,kila mtu unamchukua ..Piga mswaki kwanza harufu mpka huku.Akili kama hizi utazikuta kwa wafuasi wa s100 tu
Acha ushambenga, huyu alififiwa na mumewe aliyeugua muda mrefu...!Basi wameanza kuana wao kwa wao
Chadema waliwaambia mkimaliza sisi mtaanza ninyi kwa ninyi
Huyu alivyotolewa tu kwenye uwaziri ilikuwa Ni wake-up call
Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!
Shetani Hana rafiki!!