TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Kilichomponza jenista ni ukatoliki wake maskini[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pia ni team nchimbi, Jenista kuanzia maisha yake yote elimu yake kapitia mafunzo na shule za kikatoliki unaambiwa ni miongoni mwa watu waliokua wameishika dini haswa kwahyo walikua wanamuhisi kuwa ndo anawapa siri watu wa Tec[emoji24][emoji24]pia alikua team nchimbi maana nchimbi nae ni mngoni mwenzie[emoji24]
 
Kuna mkakati wa kuwamaliza kile kinachoonekana ni majasusi wa kanisa katoliki au watu loyal kwa ukatoliki.

Kuna mpango upo Nzito tu, hapa kuna Card inachezwa tena cha kuhuzunisha walutheri wameingizwa humo

Ushirika mpya btn govt na kkkt dhidi ya Roman

Hii ngoma kkkt wasposhtuka kitawaramba hapa anayetafutwa wala sio mkatoliki tu ni wote waje kumezwa

Uzanzibar na uarabu unatake over nchi
Hii kama inakujakuja kwa mbaaali halafu kama inaeleweka vile halafu kama ina make sense

Anywayz, nimewaza tu mchakato wa kumpitisha Malasusa kwenye kiti tena halafu najaribu ku connect dot.com
 
Kilichomponza jenista ni ukatoliki wake maskini[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pia ni team nchimbi, Jenista kuanzia maisha yake yote elimu yake kapitia mafunzo na shule za kikatoliki unaambiwa ni miongoni mwa watu waliokua wameishika dini haswa kwahyo walikua wanamuhisi kuwa ndo anawapa siri watu wa Tec[emoji24][emoji24]pia alikua team nchimbi maana nchimbi nae ni mngoni mwenzie[emoji24]
Yaan km ni Jenister, bas kote kote aliharibu, jimboni walishamchokaa, na vile ana jeuri na umimi,
Wazee wamefanya yao, akapumzike huko.
 
VP naye sio mbaya. Kuna manzi alijengewa ghorofa na huyo mkulu enzi za JK... nilishangaa sana na kukiria kweli usichukulie poa POWER OF PAPUCHI.
VP mbona nae ana mali za kutoshaa, yaan Songea imekamatwa na Jeni, Imma, labda na Feo kwenye usafiri, ila miradi mingine ni hao wawili, afu wanawapa umiliki wengine.

Kuna hotel ya kifahari iko sehemu, tulisikiaga eti ya mchaga gani sijui, kuja kusikia ni ya huyo jeni, Lol.
 
Back
Top Bottom