TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

huyo muondoe kwenye hiyo orodha, ni upande mwingine, pure evil …
Huyo Ni team Rostam aziz alikuwa ameandaa wabunge wanaomkubali Rostam akashutukiwa ndio maana akatemwa na kizimkazi.
Nimesikia na hii mimi pia..wanamalizana wenyewe kwa wenyewe Zanzibar hawataki mchezo
Hii Vita tamu Sana Kuna team 4 mpaka sasa Team kizimkazi, team msonga, team Rostam na team Magufuli

Mpaka 2030 mtaona na kushuhudia mengi
 
Back
Top Bottom