TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Duh Yan ukiondoka online lisaa limoja tu ukirudi habari zaidi ya 20 humo humo na ma breaking news...mara Tanzia....he jamani jenista
 
Acheni Mungu aitwe fundi, ila nafikiri kombora limekosea target lilikokuwa limetumwa
Mungu huwa anajibu faster October 29 Genz waliouwawa na kupelekwa mahospitalini akiwa waziri wa afya akuweza kuzuia wale maaskari wasiwaambie wauguzi wasiwatibu wapelekwe mortuary wakipumua Mungu fundi kweli kweli
 
Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.

Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
Naona wanakufa wakatoliki tu,Magufuli,Mkapa,Membe,Mpango alinusurika..hivi ni vita ya kidini sasa🤣🤣🤣
 
Sisiem mkuye huku…
Kumechangamka kiaina.

Maa…..ziiiiiii yatawauwa wengi huu mwaka Tupunguze viburi dharau ujuaji na majivuno

Mavumbini tutarudi.

Iko hivi..
Tukiwaambia hao mnawaita mabeberu wanaokoa maisha ya wengi.

Kukosekana kwa tembe ya kurefusha maisha, mtakufa wengi.
 

Attachments

  • Screenshot_20251211_172707_Lite.jpg
    Screenshot_20251211_172707_Lite.jpg
    106 KB · Views: 15
Back
Top Bottom