TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.
Ayubu 14:1
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu."

Lala salama Jenista
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!

Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!

Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
We baba una akili sana. Niliwahi kuitaja hii list kuwa hawako salama kama sie tu. Anyway kifo ni kifo tu. Mzee Kibao, ndugu zetu wamedhulumiwa maisha yao na kikundi cha wahuni wachache. RIP Mashujaa wetu kuhusu Jenista KIFO NI KIFO TU.
 
Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Jaunary na Nchimbi be careful!!

Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!

Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!


Bashungwa alishaonywa ahame nchi anajidanya kichwa kigumu eti mfumo utamlinda, Sasa yeye muache kitakachomtokea hata Ndugu zake hawataamini...!

Kimbia nchi wewe Jamaa, Hawa watu hawatanii shauri Yako.
 
Back
Top Bottom