Jenista Mhagama Aanguka

Jenista Mhagama Aanguka

Status
Not open for further replies.
Mkuu endelea kutoa elimu watakuelewa tu hawa bavicha wamezoea kila kitu kudanganya wakati tukio lilikuwa wazi halafu wao wameligeuza eti kaanguza hawa madogo siasa za kilaghai zimewaharibu sana mkuu.

wewe mama huku uvccm wametukatia umeme, kwa hasira walizonisababishia kwa kukata umeme sitampa kura mgombea yeyote wa ccm kwa ngazi yoyote.
 
Hujitambui huu siyo mjadala ulipo mezani soma tena post lengwa uje tena kila siku nawashauri acheni viroba vinawaharibu ona sasa unachanganya madesa.

Tunatambua mkiletewa post humu juu ya mstakabali wa elimu yetu au maswala ya afya barabara hamna hoja na mara zote mnakurupuka.
 
Thred ya uzushi, uongo na ujinga. Jenista alikuwa anacheza ngoma za asili wala hajaanguka
 
Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio

My take

TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA

TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)

jinamizi la marehemu mumewe limerudi kufanya kazi yake,.
 
Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio

My take

TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA

TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)

Kwa lugha ya kilokokole ndo tunasema alipagawa na mapepo! Ungemwangalia vizuri ungeona povu linamtoka mdomoni. Haya mapepo karushiwa na nani? Kuna mawili. Moja inaweza ikawa mganga wake alompa ubunge au inaweza ikawa yanatoka kwenye chama chama chake.
 
ndumba yake itakuwa imezidiwa nguvu na ya mpinzani wake wa kisiasa....aende akajipange upya.
 
Mimi nilikuwa haop, ni kweli dada yetu alianguka, sasa kama ilikuwa ni ngoma au ni kweli ulikuwa mweleka kama ile mieleka ya brother kma kawaida ya kampeni zetu kwa kweli sijui lakini kuanguka alianguka.
 
arusha umeme haupo toka asubuh up to ths moments
CCM janga kubwa aisee.. Say no to ccm
 
Tulioko mbali na nyumbani tunakosa uhondo kwi kwi kwi..

ngoma gani hiyo?? hahaahaa

CCM janga..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom