Jenista Mhagama Aanguka

Jenista Mhagama Aanguka

Status
Not open for further replies.
mnaoweza kupata caption taarifa ya habari ya TBC mtuwekee humu tujionee tena
 
Mkuu ninasema nilichpona kwa macho, ngoma alikua akiimbisha akiwa jukwaani, wakakatiza akaonekana yuko chini anagalagala na vumbi na hata body language inaonesha kwamba kwa tukio la pili haikua ngoma tena, nina wasiwasi kama wewe ndiye mbeya unatetea usichojua

mkuu kuna watu hawana jicho la 3,wanatazama hawaoni
 
Mkuu ninasema nilichpona kwa macho, ngoma alikua akiimbisha akiwa jukwaani, wakakatiza akaonekana yuko chini anagalagala na vumbi na hata body language inaonesha kwamba kwa tukio la pili haikua ngoma tena, nina wasiwasi kama wewe ndiye mbeya unatetea usichojua
Mkuu kila mtu kaona siyo kuona tu pia nimesikia na nimeongea na mhagama kumpongeza kucheza ngoma ya jadi pamoja na watu wake na yeye ndiye aliyefungaa kucheza hiyo ngoma tatizo lenu bavicha mmezoea uongo kama mzee slaa.
 
Magamba wacjawi sana,wanaiga ndumba za kikwete za kupiga chini kama pale jangwani.
 
kabla alionekana mwenye afya akiimbisha wana CCM wnezie na scene ya pili akaonekana yuko chini anagalagala
Haya ndiyo matatizo ya kuvutiabbangi chooni kila kitu kudanganya tu hata kama kipo wazi hakuna mbunge wa ccm hata mmoja mwenye kisukali kama wazee wenu wa cdm.
 
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .

mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.

Bora umekuja huku hebu tuhabarishe tatizo lilikua nini mpaka mama kaenda chini. Au ndio kale kaugonjwa ka JK kamekuja kwake?
 
Mkuu kila mtu kaona siyo kuona tu pia nimesikia na nimeongea na mhagama kumpongeza kucheza ngoma ya jadi pamoja na watu wake na yeye ndiye aliyefungaa kucheza hiyo ngoma tatizo lenu bavicha mmezoea uongo kama mzee slaa.

Mkuu sitaki kubishana na wewe kwa sababu unaeleweka humu, lakn mm sina chama chochote cha siasa. kwa leo nilikua mtazamaji wa habari tu na ndicho nilichoona, muhimu ni BODY LANGUAGE, unaeleza hadhira mbili tofauti, kama uliangalia, hadhira ya kwanza alioneshwa akicheza ngoma kisha akahutubia, wakati Mh Kinana anahutubia, ghafla ikatokea picha ya Mh akiwa chini, angalia utofauti, kwamba haiwezekani Kinana awe anahutubia halafu Mh anacheza ngoma, nadhani utaboshana hata kufa hata kama nasema ukweli, sitachangia tena hoja zako
 
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .

mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.
Inawezekana kweli hajaanguka,ni style tu ya kuomba kura
maana 2015 haiko mbali.Sarakasi na vitimbwi vya kujinadi ndo msimu wake.
 
Kwani kuna nini cha ajabu hapa mhagama alikuwa anacheza ngoma mbele ya mgeni rasmi ilipokuwa mezaa kuu halafu mwehu mwenzenu anawadanganya eti kaanguka bavicha ni janga sugu la wazawa.

Tatizo mnaendekeza akili za Nape ambaye kila kitu kwake nikukanusha.
 
Haya ndiyo matatizo ya kuvutiabbangi chooni kila kitu kudanganya tu hata kama kipo wazi hakuna mbunge wa ccm hata mmoja mwenye kisukali kama wazee wenu wa cdm.

hili ndilo tatizo la kukosa hoja, unaishia kupanic na kusema ovyo
 
Mkuu sitaki kubishana na wewe kwa sababu unaeleweka humu, lakn mm sina chama chochote cha siasa. kwa leo nilikua mtazamaji wa habari tu na ndicho nilichoona, muhimu ni BODY LANGUAGE, unaeleza hadhira mbili tofauti, kama uliangalia, hadhira ya kwanza alioneshwa akicheza ngoma kisha akahutubia, wakati Mh Kinana anahutubia, ghafla ikatokea picha ya Mh akiwa chini, angalia utofauti, kwamba haiwezekani Kinana awe anahutubia halafu Mh anacheza ngoma, nadhani utaboshana hata kufa hata kama nasema ukweli, sitachangia tena hoja zako
Basi umeangalia kipande cha habari siyo habari huna lolote kwani nani kakwambia kuwa unachama unajibu maswali ambayo hujaulizwa ukiulizwa sijui utajibu nini.
 
Hivi huyu mama ana mme labda kale kaugonjwa kao maana kakiwashika akionyesha kapichu kake ugonjwa upona.
 
hili ndilo tatizo la kukosa hoja, unaishia kupanic na kusema ovyo
Huna cha kunipanikisha kwa umbea huu unaoweka ndiyo unipanikishe tangu lini tatizo lenu bavicha hata kama mkisema uongo mnataka kuachwa mueneze huo uongo kitu ambacho ni kupotosha jamii uongo fanyeni bavicha mkija huku mseme ukweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom