MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 761
Rejea mijadala na post zango za awali unataka mimi nifanye kazi ya kukukumbusha we vipi,acha viroba.
Tumeshakuzoea daima vijana wa lumumba kila kitu kwao ni ndio kama baba zao kule bungeni.
Rejea mijadala na post zango za awali unataka mimi nifanye kazi ya kukukumbusha we vipi,acha viroba.
Unataka nikujue ili iweje mamtu mazembe kama wewe ndiyo yanapenda kusema hujuwi mimi nani mambo ya kishamba nayakizamani kweli kwani ukiwa mchawi mkuu ndiyo utaniroga au ukisema wewe nani ndiyo unitishe acha ushamba mkuu hakuna mtu wa kutishwa kwa maisha haya,eti hujui unazungumza na nani so what,ha ha ha ha ha ha!Thanks, hujui unazungumza na nani na wala usitake kujua kuhusu hilo. Ila kamwe usijaribu kupotosha watu kwa manufaa yako binafsi.....period.
Unataka tuwe tunatoa matamko kila siku kama chadema hata nyumba ya jilani wakigomabana wao wanatoa tamko,kadima bana.Tumeshakuzoea daima vijana wa lumumba kila kitu kwao ni ndio kama baba zao kule bungeni.
Unanitaka?ivi wewe ni mtetezi wa CCM au kichaa wa CCM
Acha kujitukana kijana mimi kanizoea mchumba wangu tu sasa wewe unaposema umenizoea nakushangaa sana hivi bavicha mkoje?Tumeshakuzoea daima vijana wa lumumba kila kitu kwao ni ndio kama baba zao kule bungeni.
Kwani kuna nini cha ajabu hapa mhagama alikuwa anacheza ngoma mbele ya mgeni rasmi ilipokuwa mezaa kuu halafu mwehu mwenzenu anawadanganya eti kaanguka bavicha ni janga sugu la wazawa.
Hujitambui huu siyo mjadala ulipo mezani soma tena post lengwa uje tena kila siku nawashauri acheni viroba vinawaharibu ona sasa unachanganya madesa.yapi?kwako ya maana tuanze na umeme au elimu au dawa hospitalini au barabara au posho?
Mkuu endelea kutoa elimu watakuelewa tu hawa bavicha wamezoea kila kitu kudanganya wakati tukio lilikuwa wazi halafu wao wameligeuza eti kaanguza hawa madogo siasa za kilaghai zimewaharibu sana mkuu.ndugu zangu kwahili naungana na simiyu ni kwamba kwa tamaduni zetu ss wangoni kwa upande wa wanawake tunautamaduni wa kubiringita chini tukimsnisha furaha na shukrani za dhati na heshima kwa mgeni ama mtu flani muhimu.
Ngoja Simiyu Yetu na MSALANI WAJE KUTUJUZA.
Nishawambia andani pembasi mkuu mtatikiswa sana wala hamtaamini kitakachowakuta.Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Pendekezo - hizo namba zifikiriwe kuongezwa posho , angalau wafike kwenye rank kama za akina zemarcopolo .
Unataka nikujue ili iweje mamtu mazembe kama wewe ndiyo yanapenda kusema hujuwi mimi nani mambo ya kishamba nayakizamani kweli kwani ukiwa mchawi mkuu ndiyo utaniroga au ukisema wewe nani ndiyo unitishe acha ushamba mkuu hakuna mtu wa kutishwa kwa maisha haya,eti hujui unazungumza na nani so what,ha ha ha ha ha ha!
Ngoma gani ya kujigaragaza mavumbini ? Kwani asingefanya hivyo asingejulikana kama yupo au mambo ya unyago ameamua kuonyesha hadharani? Kutaka ubunge kutawafanya wa onje hadi kinyesi tusubiri tu 2015 tutaona mengi
Unataka tuwe tunatoa matamko kila siku kama chadema hata nyumba ya jilani wakigomabana wao wanatoa tamko,kadima bana.
Unanitaka?
Kifafa hicho mkuu, yatageuzwa maneno ili mradi huyo mama aonekane kujigaragaza kwake na vumbi ni part ya hotuba.Ngoma ya kufurahia ubwabwa shurti ujigaragaze kwenye mavumbi.