palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
kashifa ya kapuya wataanguka wengi kwa presha.
Binti anaserebuka pembeni ya kapuya . Jicho la kapuya linamuona anamuita wanaanza kuongea
kashifa ya kapuya wataanguka wengi kwa presha.
Orgasm ya kisiasa zaidi........
Utajijua.wewe mama huku uvccm wametukatia umeme, kwa hasira walizonisababishia kwa kukata umeme sitampa kura mgombea yeyote wa ccm kwa ngazi yoyote.
Ongeza nguvu Simiyu yetu kazidiwa
Mkuu MT KILIMANJARO huyu Simiyu Yetu na T2015CCM huwa siwaelewi kabisa...
Maana wako kishabiki zaidi...
Na bado vitanda mlivyovitandika mtavitandua tu.Ungekua umezoea kufanya kazi ningekua nimejitukana lakini kwasababu umezoea kufanyiwa kazi niko sawa. Vijana wa lumumba sijui mna akili gani.
Zakwako umezivalia kwenye viatu.Hawana akili hao mkuu.
Unanitaka?
Zakwako umezivalia kwenye viatu.
Haya ndiyo matatizo ya kuvutiabbangi chooni kila kitu kudanganya tu hata kama kipo wazi hakuna mbunge wa ccm hata mmoja mwenye kisukali kama wazee wenu wa cdm.
ndugu zangu kwahili naungana na simiyu ni kwamba kwa tamaduni zetu ss wangoni kwa upande wa wanawake tunautamaduni wa kubiringita chini tukimsnisha furaha na shukrani za dhati na heshima kwa mgeni ama mtu flani muhimu.
ndiyo,nikugonge jicho bila kuzima taa.utafika lini levo za kina Ritz za kulipwa buku 10 badala ya bk 7?
Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio
My take
TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA
TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)
Acha kujitukana kijana mimi kanizoea mchumba wangu tu sasa wewe unaposema umenizoea nakushangaa sana hivi bavicha mkoje?
Mhe. Mimi ni Mngoni 100%, na nimesoma darasa la kwanza mpaka la Saba huko, Kidato cha Kwanza mpaka Nne nimesoma huko pia, naomba utuambie ni ngoma gani Mkoa wa Ruvuma ikipigwa watu wanabilingika chini na kujipaka mavumbi?
Kwa ufupi, ngoma zetu ni hizi:
1. Mganda wa style 2, yaani Kimanda (huchezwa na sehemu kubwa ya watu tunaoishi Ziwa Nyasa na baadhi ya wamatengo) na Chinkachi (huchezwa na watu wa Milimani (Matengo) na baadhi ya sehemu kubwa za ungonini)..tunavaa nguo nyeupe kabisa. Mganda hata kama umenogewa namna gani..huwezi kujidondosha wala kuruhusu uchafu wa vumbi likupate kwani kufanya hivyo ni kuharibu jezi ya mganda.
2. Kihoda/ Chomanga; hizi ni ngoma za akina mama (smart and special ngoma) huchezwa kwa wakati maalum na ktk mazingira ya usafi pure....like mganda..hata kama umenogewa kupitiliza, you cant allow kuchafuka save for persons who are overwhelmed by hiyo ngoma which is very rare to happen.
3. Lindeku....ngoma hii huchezwa wakati wa sherehe kama vile harusi, kipaimara, n.k, pia hakuna kudondoka kwa minajiri ya kujikonga nyoyo. Wachezaji hawatakiwi kujiburuza chini ya ardhi hata kidogo save for persons who are overwhelmed by mapigo na utamu wa hiyo ngoma.
4. Ligambusa.....new item tangu miaka ya 2000, ngoma hii watu hucheza kwa stepu like in mganda, kioda/chihoda, hakuna kujidondosha hovyo kamwe save for persons who are overwhelmed by utamu wa hiyo ngoma which is very rare to happen.
5. Ling'oma is similar to mganda....
6. Nkeng'endu huchezwa over night...period.
7. Sindimba is similar to kioda/chomanga.
Hebu tusaidie, huyo Mama Mhagama alikuwa anacheza ngoma gani ya jadi ya Mkoa wa Ruvuma out of what i've listed hereinabove.
Usijipotoshe.
![]()
AKICHEZA
Mimi nilikuwa haop, ni kweli dada yetu alianguka, sasa kama ilikuwa ni ngoma au ni kweli ulikuwa mweleka kama ile mieleka ya brother kma kawaida ya kampeni zetu kwa kweli sijui lakini kuanguka alianguka.
kAMA KAANGUKA ungeziona sura za watu, zisingekuwa za furaha. Na wote wangemzunguka kumuinua. Lakini ukiangalia unaona wametulia tena wanacheka jinsi mama anavyokula raha na ngoma za kingoni.
Wewe mtunga thread hujajaribu kuicheza ngoma hiyo, hata wewe utakwenda ardhini tu kwa raha yake.
Hupiti ubunge Ruvuma bila kucheza Ngoma na kugusa ardhi.
Hukumuona Bush alivyocheza nini?