![]()
AKICHEZA
kwani wewe si mgonjwa au huwezi kuumwa? mbona mnapenda sana kutapika tu bila kushirikisha ubongo?Wagonjwa ni wengi nchi hii. Huyu mama kanona namna hii balaa.
Huna cha kunipanikisha kwa umbea huu unaoweka ndiyo unipanikishe tangu lini tatizo lenu bavicha hata kama mkisema uongo mnataka kuachwa mueneze huo uongo kitu ambacho ni kupotosha jamii uongo fanyeni bavicha mkija huku mseme ukweli.
![]()
AKICHEZA
kama ni ngoma basi sio tu kulala, inaonekana unatakiwa ugalagae chini, hao mbona wamestahere kabisa, ungemuona mh jinsi alivyobilingita
Wagonjwa ni wengi nchi hii. Huyu mama kanona namna hii balaa.
Hapo Kwenye red: Au ni matumizi ya pumba mkuu? Si unajua tena zile pumba kwa kunenepesha ni balaa ndiyo maana wafugaji wa kuku wa kisasa wameamua kukuzia kuku wao.
Mkuu kila mtu kaona siyo kuona tu pia nimesikia na nimeongea na mhagama kumpongeza kucheza ngoma ya jadi pamoja na watu wake na yeye ndiye aliyefungaa kucheza hiyo ngoma tatizo lenu bavicha mmezoea uongo kama mzee slaa.
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .
mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.
Simiyu Yetu,
Wewe ni gamba sugu lisilosikia hata shoka! Kwanini unaweweseka? Kama Jenista Kaanguka cha ajabu nini? Watanzania wanajua mizee ya CCM kuanzia Ikulu,Bungeni na Vijijini ni majanga matupu. Kama Jakaya kiwete ameshaanguka mara mbili cha ajabu nini kwa Jenista kuanguka?Mbona ni ugonjwa wa kawaida kwa Magamba na Majambazi wa CCM?
Unaweweseka na CDM bure mazee. Tuambie ni kiongozi gani wa CDM amewahi kuanguka jukwaani kwenye mkutano wa hadhara achilia mbali mjengoni. Utalijua jiji.
Ng'ombe majani waheed!
Hapo Kwenye red: Au ni matumizi ya pumba mkuu? Si unajua tena zile pumba kwa kunenepesha ni balaa ndiyo maana wafugaji wa kuku wa kisasa wameamua kukuzia kuku wao.
hiyo siyo ngoma, ni namna ya kutoa shukurani....Kama hii ni ngoma, basi nimeipenda sana style yake ya kulala mchangani
Na huyo sista mtawa nae ndio anataka kutumwagia radhi? Hicho kiremba kikianguka atasemaje? I'm sure Cardinal Pengo anatoka povuhiyo siyo ngoma, ni namna ya kutoa shukurani....
wangoni huwa wanaitumia sana hii kuonyesha shukrani zao. hata kwenye maharusi huwa wanafanya hivi. hata kama hapachezwi ngoma, baada ya kuongea jambo fulani lililowafurahisha huwa wanafanya hivyo