Jenista Mhagama Aanguka

Jenista Mhagama Aanguka

Status
Not open for further replies.
Mkuu kila mtu kaona siyo kuona tu pia nimesikia na nimeongea na mhagama kumpongeza kucheza ngoma ya jadi pamoja na watu wake na yeye ndiye aliyefungaa kucheza hiyo ngoma tatizo lenu bavicha mmezoea uongo kama mzee slaa.

Unajitahidi hvi salary yako lumumba haijapanda pale Lumumba hata ununue suruali ya pili?
 
Basi umeangalia kipande cha habari siyo habari huna lolote kwani nani kakwambia kuwa unachama unajibu maswali ambayo hujaulizwa ukiulizwa sijui utajibu nini.

tatizo lingine la kukosa hoja ni kusahau hoja yako mwenyewe, Mkuu umeniita BAVICHA..........
 
Unajitahidi hvi salary yako lumumba haijapanda pale Lumumba hata ununue suruali ya pili?
Milioni mia moja kwa sasa,
hayo ndiyo mnayofanyiwa na babu mnadhani kila mtu anafanyiwa hayo mwizi siku zote hudhani kila mtu mwizi pole.
 
tatizo lingine la kukosa hoja ni kusahau hoja yako mwenyewe, Mkuu umeniita BAVICHA..........
Kwani tanzania kunachama cha siasa kinaitwa bavicha? Si bure utakuwa umevurugwa bavicha ni genge la kilaghai linalotumiwa na baadhi ya wanasiasa.
 
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .

mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.

Mhe. Mimi ni Mngoni 100%, na nimesoma darasa la kwanza mpaka la Saba huko, Kidato cha Kwanza mpaka Nne nimesoma huko pia, naomba utuambie ni ngoma gani Mkoa wa Ruvuma ikipigwa watu wanabilingika chini na kujipaka mavumbi?

Kwa ufupi, ngoma zetu ni hizi:

1. Mganda wa style 2, yaani Kimanda (huchezwa na sehemu kubwa ya watu tunaoishi Ziwa Nyasa na baadhi ya wamatengo) na Chinkachi (huchezwa na watu wa Milimani (Matengo) na baadhi ya sehemu kubwa za ungonini)..tunavaa nguo nyeupe kabisa. Mganda hata kama umenogewa namna gani..huwezi kujidondosha wala kuruhusu uchafu wa vumbi likupate kwani kufanya hivyo ni kuharibu jezi ya mganda.

2. Kihoda/ Chomanga; hizi ni ngoma za akina mama (smart and special ngoma) huchezwa kwa wakati maalum na ktk mazingira ya usafi pure....like mganda..hata kama umenogewa kupitiliza, you cant allow kuchafuka save for persons who are overwhelmed by hiyo ngoma which is very rare to happen.

3. Lindeku....ngoma hii huchezwa wakati wa sherehe kama vile harusi, kipaimara, n.k, pia hakuna kudondoka kwa minajiri ya kujikonga nyoyo. Wachezaji hawatakiwi kujiburuza chini ya ardhi hata kidogo save for persons who are overwhelmed by mapigo na utamu wa hiyo ngoma.

4. Ligambusa.....new item tangu miaka ya 2000, ngoma hii watu hucheza kwa stepu like in mganda, kioda/chihoda, hakuna kujidondosha hovyo kamwe save for persons who are overwhelmed by utamu wa hiyo ngoma which is very rare to happen.

5. Ling'oma is similar to mganda....

6. Nkeng'endu huchezwa over night...period.

7. Sindimba is similar to kioda/chomanga.

Hebu tusaidie, huyo Mama Mhagama alikuwa anacheza ngoma gani ya jadi ya Mkoa wa Ruvuma out of what i've listed hereinabove.

Usijipotoshe.
 
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .

mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.
Kwa hiyo kacheza hadi kaanguka?
 
Mhe. Mimi ni Mngoni 100%, na nimesoma darasa la kwanza mpaka la Saba huko, Kidato cha Kwanza mpaka Nne nimesoma huko pia, naomba utuambie ni ngoma gani Mkoa wa Ruvuma ikipigwa watu wanabilingika chini na kujipaka mavumbi?

Kwa ufupi, ngoma zetu ni hizi:

1. Mganda wa style 2, yaani Kimanda (huchezwa na sehemu kubwa ya watu tunaoishi Ziwa Nyasa na baadhi ya wamatengo) na Chinkachi (huchezwa na watu wa Milimani (Matengo) na baadhi ya sehemu kubwa za ungonini)..tunavaa nguo nyeupe kabisa. Mganda hata kama umenogewa namna gani..huwezi kujidondosha wala kuruhusu uchafu wa vumbi likupate kwani kufanya hivyo ni kuharibu jezi ya mganda.

2. Kihoda/ Chomanga; hizi ni ngoma za akina mama (smart and special ngoma) huchezwa kwa wakati maalum na ktk mazingira ya usafi pure....like mganda..hata kama umenogewa kupitiliza, you cant allow kuchafuka save for persons who are overwhelmed by hiyo ngoma which is very rare to happen.

3. Lindeku....ngoma hii huchezwa wakati wa sherehe kama vile harusi, kipaimara, n.k, pia hakuna kudondoka kwa minaji ya kujinga nyoyo. Wachezaji hawatakiwi kujiburuza chini ya ardhi hata kidogo save for persons who are overwhelmed by mapigo na utamu wa hiyo ngoma.

4. Ligambusa.....new item tangu miaka ya 2000, ngoma hii watu hucheza kwa stepu like in mganda, kioda/chihoda, hakuna kujidondosha hovyo kamwe save for persons who are overwhelmed by utamu wa hiyo ngoma which is very rare to happen.

5. Ling'oma is similar to mganda....

6. Nkeng'endu huchezwa over night...period.

7. Sindimba is similar to kioda/chomanga.

Hebu tusaidie, huyo Mama Mhagama alikuwa anacheza ngoma gani ya jadi ya Mkoa wa Ruvuma out of what i've listed hereinabove.

Usijipotoshe.
Sipo hapa kuchambua ngoma za makabila nipishe nijadili mambo ya maana watu msio na mwelekeo kama wewe huwa sitaki hata kuwaona mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
 
Mwanza? Si ndio wanaotembea/safiria na ungo mchana kweupe.
 
Hivi huyu mama ana mme labda kale kaugonjwa kao maana kakiwashika akionyesha kapichu kake ugonjwa upona.
Inaonekana haya matatizo yanawasumbua sana kwenye ukoo wenu unadhani kila ukoo yapo mrudieni mungu yataisha mjitenge na shetani kwanza.
 
Sipo hapa kuchambua ngoma za makabila nipishe nijadili mambo ya maana watu msio na mwelekeo kama wewe huwa sitaki hata kuwaona mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

Thanks, hujui unazungumza na nani na wala usitake kujua kuhusu hilo. Ila kamwe usijaribu kupotosha watu kwa manufaa yako binafsi.....period.
 
Mhe. Mimi ni Mngoni 100%, na nimesoma darasa la kwanza mpaka la Saba huko, Kidato cha Kwanza mpaka Nne nimesoma huko pia, naomba utuambie ni ngoma gani Mkoa wa Ruvuma ikipigwa watu wanabilingika chini na kujipaka mavumbi?

Kwa ufupi, ngoma zetu ni hizi:

1. Mganda wa style 2, yaani Kimanda (huchezwa na sehemu kubwa ya watu tunaoishi Ziwa Nyasa na baadhi ya wamatengo) na Chinkachi (huchezwa na watu wa Milimani (Matengo) na baadhi ya sehemu kubwa za ungonini)..tunavaa nguo nyeupe kabisa. Mganda hata kama umenogewa namna gani..huwezi kujidondosha wala kuruhusu uchafu wa vumbi likupate kwani kufanya hivyo ni kuharibu jezi ya mganda.

2. Kihoda/ Chomanga; hizi ni ngoma za akina mama (smart and special ngoma) huchezwa kwa wakati maalum na ktk mazingira ya usafi pure....like mganda..hata kama umenogewa kupitiliza, you cant allow kuchafuka save for persons who are overwhelmed by hiyo ngoma which is very rare to happen.

3. Lindeku....ngoma hii huchezwa wakati wa sherehe kama vile harusi, kipaimara, n.k, pia hakuna kudondoka kwa minaji ya kujinga nyoyo. Wachezaji hawatakiwi kujiburuza chini ya ardhi hata kidogo save for persons who are overwhelmed by mapigo na utamu wa hiyo ngoma.

4. Ligambusa.....new item tangu miaka ya 2000, ngoma hii watu hucheza kwa stepu like in mganda, kioda/chihoda, hakuna kujidondosha hovyo kamwe save for persons who are overwhelmed by utamu wa hiyo ngoma which is very rare to happen.

5. Ling'oma is similar to mganda....

6. Nkeng'endu huchezwa over night...period.

7. Sindimba is similar to kioda/chomanga.

Hebu tusaidie, huyo Mama Mhagama alikuwa anacheza ngoma gani ya jadi ya Mkoa wa Ruvuma out of what i've listed hereinabove.

Usijipotoshe.
Sasa wewe na ungoni wako mimi unanisaidia nini hapa hatujadili makabila wewe kaa na huo ungoni wako kila mtu anakabila lake humu jf wala hawajitangazi.
 
Sipo hapa kuchambua ngoma za makabila nipishe nijadili mambo ya maana watu msio na mwelekeo kama wewe huwa sitaki hata kuwaona mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

yapi?kwako ya maana tuanze na umeme au elimu au dawa hospitalini au barabara au posho?
 
Sipo hapa kuchambua ngoma za makabila nipishe nijadili mambo ya maana watu msio na mwelekeo kama wewe huwa sitaki hata kuwaona mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

ivi wewe ni mtetezi wa CCM au kichaa wa CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom