Jengo la TANESCO ubungo sio la serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jengo la TANESCO ubungo sio la serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JoJiPoJi, May 26, 2011.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,319
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Wandugu salama,
  Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya serikali ndio sababu iliyomfanya Magufuli kutaka kulibomoa ili kumkomoa mmiliki.
  Je wadau kuna ukweli wowote kwenye hili.
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  toa taarifa ya uhakiika please
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,770
  Likes Received: 726
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo serikali inaruhusiwa kuvunja sheria?.
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lazima litakuwa la FISADI PAPA!!!
   
 5. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,319
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Tanesco.jpg
  tanesco hq
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,639
  Likes Received: 16,057
  Trophy Points: 280
  Kama sio la serikali au Tanesco ni la nani? tunayo haki ya kufahamu.
   
 7. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,547
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Ni la TANESCO.
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Duh? Hata kama sio la serikali ndo ubomoe rasilimali ya pesa mingi ivo? Si bora kulitaifisha sasa kama wanataka kukomoana. Kuchukua maamuzi ya "tukose wote" ni utoto!
   
 9. A

  Anold JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Serikali ya Tanzania inajua kutunga sheria sio kuzifuata!!!!
   
 10. 2

  2ndfao New Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  y alivunje yeye km nani
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  wabomoe tu ili barabara ipanuliwe, au wakazi wa temboni hamchoka kuamka saa kumi usiku kama mnaenda mkoani kumbe mnawahi ofsn?
   
 12. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  kwa nini wasibomoe upande ilipo wizara ya maji?
   
 13. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  design ya ilo jengo ni kama la mzee manji vile
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,145
  Likes Received: 4,071
  Trophy Points: 280
  niliwahi kuambiwa ni la EL na RA but
  wanaojua watatujuza vizuri zaidi.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,276
  Likes Received: 3,950
  Trophy Points: 280
  Suala sio umiliki bali limejengwa ndani ya road reserve
   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,907
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Magufuli Mvinyo anafuata Sheria liwe jengo la papa wa vatcan au papa kwa ufisadi
  lipo kwenye road reserve cha kufanya ni sheria ifuate mkondo wake we unasema jengo la
  fedha nyingi lisivinje utasema hata mtu mwenye fedha nyingi asifungwe !
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,003
  Likes Received: 12,616
  Trophy Points: 280
  Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.

  Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.

  Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.

  Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Livunjwe na wafidiwe
   
 19. d

  dav22 JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  basi livunjwe na wafidiwe si ndivo sheria inasema au??
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  wabomoe ilipo hifadhi ya barabara, si kubomoa kwa sababu ni tanesco au ni maji......
   
Loading...