Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

Alafu kingine usije ukaona jengo kubwa hilo basi ukajua kuna fedha kubwa imetumika,hapo ni just value for money tu.

Usikute bajeti ya hapo ni sawa na ile iliyoenda kituo cha Tanesco kagera sema eneo moja limepigwa ufisadi eneo lingine liko huru na mikono ya ufisadi.

Ni katika awamu hii ya Magu ndio tumeanza kuona majengo mengi ya serikali na uma yakija katika muonekano wa kisasa.mfano hospitali,masoko,ofisi za wilaya na kadhalika.
 
alifocuss mbali kwani chato itaendelea kuwa ndogo mpaka ln?huo ni uwekezaji mzuri baada ya miaka mitano au kumi chato haitakuwa ndogo bali itakuwa kubwa.
 
Bora jengo Kama Hilo huko chato. Ipo siku litatumika

Sio kujilimbikizia Mali Kama familia za baadhi ya marais
Hivi ile trillion 1.5 iliishia wapi? Huko sio kujilimbikizia mali kweli? Na vipi uwanja wa chato kujengwa na mayanga je kampuni ya mayanga haina interest za magufuli?
 
Magufuri hakujenga hospitali kubwa kusini? Hakufufua bandari ya kusini? Magufuri ameacha majengo mengi nchi hii
 
Kama umeona pamejengwa vizuri hamia huko

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…