Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Mimi pia alinisaidia sana kupona kipandauso kilichonisumbua miaka nenda rudi lakini siku moja aliponitajia mchanganyiko wa sawa nilipona siku hiyo hiyo niliyotumia sijui daftari langu la notes za mafundisho ya ndodi nani hata aliniibiaga maana nilikuwa naelekea kuwa mganga
Boss naomba nisaidie hii dawa, maana kimenitesa hadi uwezo wa kuona vizuri umefifia,
 
Jamaa nilikuwa namfatilia sana RFA na EATV kwa vipindi vyake ila nimejifunza mambo mengi yenye manufaa kupitia kwake:-

1.kunywa maji nusu saa baada a kula
2.Vitunguu saumu dawa.
3.Dawa ya wasiopata choo - Juisi ya ukwaju
4.Dawa ya malaria na ulcers - Juice ya limao
5........

Namba 1 na 2 niliifatilia mpaka nikazoea...
 
Ujue hata viongozi wa dini wanafundisha kufuata amri za Mungu lakini wao pia wanazivunja kwa kukosa uvumilivu.
 
Jamaa nilikuwa namfatilia sana RFA na EATV kwa vipindi vyake ila nimejifunza mambo mengi yenye manufaa kupitia kwake:-

1.kunywa maji nusu saa baada a kula
2.Vitunguu saumu dawa.
3.Dawa ya wasiopata choo - Juisi ya ukwaju
4.Dawa ya malaria na ulcers - Juice ya limao
5........

Hivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.

-Kaveli-
 
Nimesha wahi kutana naye mahala , zile pesa sijui zimeisha
 
Hivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.

-Kaveli-
Wimbo mzuri ila sijui nani/kwaya gani wameimba.
 
nilisikiaga alifika hatua ya kuwa anasafiri na msafara kama Mkwele enzi hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom