Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,618
- 39,978
Dr. Ndodi yupo anaendelea na shughuli zake. Kwa sasa kama uko mbali na Dar huwezi kujua maana yule Waziri aliyekwepa Twiga akavunjika mbavu alibadili kanuni ili kumkomoa Dr MWAKA kwa kupiga marufuku watu wa tiba mbadala kujitangaza kwenye TV au kubandika mabango mitaani.Mjanja yule atakua anasoma alama za nyakati
