cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Msemaji yupo sawa. Ila mimi napingana na wewe kwa sababu umesema dona in general kitu ambacho kinaleta wasiwasi kwa yeyote atakayesoma hiyo post . Haujawa specific kwamba dona isipoandaliwa Vizuri au isipotunzwa vizuri inaleta sumukuvu/Aflatoxin hapo ndio nikawa nakurekebishaMkuu, ebu acha kuniaibisha basi.....
Nakumbuka May 2019 msemaji wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bi Gaudensia Simwaza amesema, ulaji wa vyakula vilivyochafuliwa na kiasi kikubwa cha sumukuvu husababisha madhara ya kiafya ya muda mfupi na muda mrefu.
Madhara ambayo mtu anaweza kuyagundua baada ya muda mrefu kupita ni ya kuugua saratani ya ini, na madhara ya muda mfupi ni mlaji kuugua ugonjwa wa kuhara.
Tena aliongeza kwa kusema, sumu hiyo hupatikana kwenye mazao ya nafaka hasa mahindi na karanga, na kwamba walaji wa ugali wa dona wapo hatarini zaidi ikiwa hatua za uandaaji wa chakula hicho hautazingatiwa.
Hayo yamesemwa na Msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwaza alipoulizwa kuhusu hatua zinazochukuliwa kudhibiti waandaaji wa unga wa dona nchini na madhara yanayoweza kumpata mtu endapo atakula chakula hasa ugali wa dona ambayo imechafuliwa na sumukuvu.
Tena aliongeza kwa kusema kwamba.....
Dona ina lishe na ni sahihi kuliwa, shida ni maandalizi ya unga wa dona. Ni lazima anayeandaa aoshe kwa umakini na usahihi kwani wengi huhifadhi mahindi na dawa.
Samahani mkuu, hilo neno (dona in general) umeliongeza wewe....Msemaji yupo sawa. Ila mimi napingana na wewe kwa sababu umesema dona in general kitu ambacho kinaleta wasiwasi kwa yeyote atakayesoma hiyo post . Haujawa specific kwamba dona isipoandaliwa Vizuri au isipotunzwa vizuri inaleta sumukuvu/Aflatoxin hapo ndio nikawa nakurekebisha
Pamoja na kuweka hizo alama ni sahihi kuweka uthibitisho halisi maana jamii inaweuka siku hizi, mtu akisoma jambo hizo sanifu na alama mkato nk huwa zinapotea wkt wa kusoma.haaahaaahaa du we jamaa ndio umekuja na ushahidi wa picha kabisa. hapo katumia urefu lkn kamaanisha ufupi ndio maana aliweka alama hii '....'
Wewe utakuwa upungufu wa nguvu za kike miaka yote hiyo unaolewa tangia tuachane.Nakumbuka alisema wanawake Wana upungufu wa nguvu za kike na ana tiba yake
Wewe utakuwa upungufu wa nguvu za kike miaka yote hiyo unaolewa tangia tuachane.


wakuolewa hamnaBila kumsahau Mzee Ambilikile Mwasapile wa tiba ya kikombe kwa jero,kutoka pande za Samunge huko Liliondo.Hafu Hawa kina Dr ndondi waliibuka enzi za kina Jakaya, Mara Dr Rahabu, Mara Dr. Mwaka Yani mtu anajiita Dr na hajaenda kusoma bachelor ya medicine Muhimbili na serikali Ina mchekea tu.
Oleweni jamani, ata kama ulijiunga jf ukiwa kigori sasa hivi utakuwa uaneelekea kuzeeka kabisawakuolewa hamna
Hahaha...hiyo inaitwa"Market Stimulation" yaani unaweza lima Bamia heka kibao...kisha ukaenda kutangaza kuwa zinaongeza "nguvu za kiume" ili kuongeza demand ya mazao yako wakija kushtuka si kweli,una nyumba mbezi beach..unaendesha V8 na mazaga kama yote...kifupi unakua ndo ushatoboa.Kuna kipindi yalitangazwa mafuta ya ubuyu kua ni mafuta bora saana watu wakayanunua balaa mpk mafuta ya alizeti yakaanza kukosa soko maaara paap mkemia mkuu anakuja kutangaza mafuta ya ubuyu yana sumu.
Mchezo ukaishia hapo hapo,sasa sijui ilikua ni competition kati ya wauza ubuyu vs alizeti hata sielewi.
Kubali kuwa Ulikosea kumshambulia mtoa hoja kwamba ni muongo.Pamoja na kuweka hizo alama ni sahihi kuweka uthibitisho halisi maana jamii inaweuka siku hizi, mtu akisoma jambo hizo sanifu na alama mkato nk huwa zinapotea wkt wa kusoma.
Jamaa atakuwa hoi alitafuna sana sampuli nyingi mixer vvu akiamini tiba lishe, wahudumu mahotel na wateja wa kike.Nakumbuka alisema wanawake Wana upungufu wa nguvu za kike na ana tiba yake
Dah hatari Sana, dunia hii mwamini Mungu tuJamaa atakuwa hoi alitafuna sana sampuli nyingi mixer vvu akiamini tiba lishe, wahudumu mahotel na wateja wa kike.
Mkuu wewe Kama umeoa na unaona umefanikiwa hongera Sana, Mimi bado nipo nipo Sana tunatofautiana vipaumbele, na Mimi nafurahi jinsi umri unavoongezeka maana Kuna wengi wa umri wangu hawapo duniani, kwanini nisifurahi kuzeeka jamaniOleweni jamani, ata kama ulijiunga jf ukiwa kigori sasa hivi utakuwa uaneelekea kuzeeka kabisa
Wanasema mahindi hayajawahi kuwa chakula cha binadamu, hayo yalisemwa na wagunduzi zamani kabla mahindi hayo hao hayajazaliwa maabara (GMO) sasa jiulize kama yale ya asili sio chakula cha binadamu je haya ya kisasa je?Unga wa dona ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
Huyo babu uongo wake sikuuamini Hadi Kuna watu tuligombana kisa kikombe, watanzania tunauvivu wa kufikiria na kupenda miujizaBila kumsahau Mzee Ambilikile Mwasapile wa tiba ya kikombe kwa jero,kutoka pande za Samunge huko Liliondo.

Hahhah daah afadhali umeleta mrejesho mkuu,watu wengi jamaa alituingiza chaka sana.Nilienda kufanya majaribio kwenye ishu ya msumari,nikakuta sio kweli,tokea hapo niliendea kutwanga coca km kawa.
Ndodi mwongo sana,sijui alidhamiria nini kutushauri wenzake tusinywe soda wala sembe,n.k. wakati yeye anatumia?!!!!.Hahhah daah afadhali umeleta mrejesho mkuu,watu wengi jamaa alituingiza chaka sana.