Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Kuwaita viongozi waliodhurumiwa haki zao Insane wakati wewe mwenyewe ukijijua ni Idiot ni kutojitendea haki. Jitambue kwanza Uzuzu ulionao na Ulambamwiko, kujipendekeza na kujikomba hakukusaidii zaidi ya kukushusha. Umeshiriki kura za maoni ukaongeza ujinga, safari hii unapata uteuzi ambao umeulilia kwa kutukana wenzio, utakapopata ndo utakamilisha kabisa mzunguko wa upumbavu.
Mkuu tuvumikie tu.
Huyu kinachomsumbua ni ikabioa ushamba.
Matusi yote ya nini na wameshinda kwa asilimia zote?