RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Wenye chama chao ndiyo wameamua walivyofanya, na maslahi ya umma kwako ni kukubali ujinga na uharamia ulifanyika kwenye uchaguzi mkuu, huo nao ni ujinga katika kiwango cha kukosa utimamu wa afya ya akili.