Haya magari yanayojaza mafuta kwenye vituo vya mafuta yakiwa na abiria, je kuna hatari?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Huwa najiuliza mabasi na daladala yanatoka stendi yakiwa yamejaza abiria na kupita vituo vya mafuta kujaza mafuta kwa ajili ya kuendelea na safari hakuna hatari yoyote ya mlipuko?

Je, kwa bahati mbaya basi limejaza abiria zaidi ya 60 halafu linaenda kujazwa mafuta halafu from no where mlipuko ukatokea kituo cha mafuta si raia wengi watapoteza maisha.

Mi nishauri mamlaka inayohusika wasimamie hili mabasi na daladala yajaze mafuta ndo waingie stendi kubeba abiria,siyo kubeba abiria na kwenda kujaza mafuta na wasisubiri ajali zitokee ndo matamko yaanze.
 
Huwa najiuliza mabasi na daladala yanatoka stendi yakiwa yamejaza abiria na kupita vituo vya mafuta kujaza mafuta kwa ajili ya kuendelea na safari hakuna hatari yoyote ya mlipuko...
Inategemea ni wapi kama ni bongo mbn ndo maisha yetu ayo hamna hatari
 
Huwa najiuliza mabasi na daladala yanatoka stendi yakiwa yamejaza abiria na kupita vituo vya mafuta kujaza mafuta kwa ajili ya kuendelea na safari hakuna hatari yoyote ya mlipuko?

Je, kwa bahati mbaya basi limejaza abiria zaidi ya 60 halafu linaenda kujazwa mafuta halafu from no where mlipuko ukatokea kituo cha mafuta si raia wengi watapoteza maisha.

Mi nishauri mamlaka inayohusika wasimamie hili mabasi na daladala yajaze mafuta ndo waingie stendi kubeba abiria,siyo kubeba abiria na kwenda kujaza mafuta na wasisubiri ajali zitokee ndo matamko yaanze.

Kuzuia ni katika zile sheria zetu za kijinga kujitafutia za ku brush viatu tu
 
wawepo askari kwenye vituo vya kujazia mafuta kukamata gari zote za abiria zinazojaza mafuta huku zikiwa na abiria ndani.
 
Huwa najiuliza mabasi na daladala yanatoka stendi yakiwa yamejaza abiria na kupita vituo vya mafuta kujaza mafuta kwa ajili ya kuendelea na safari hakuna hatari yoyote ya mlipuko?

Je, kwa bahati mbaya basi limejaza abiria zaidi ya 60 halafu linaenda kujazwa mafuta halafu from no where mlipuko ukatokea kituo cha mafuta si raia wengi watapoteza maisha.

Mi nishauri mamlaka inayohusika wasimamie hili mabasi na daladala yajaze mafuta ndo waingie stendi kubeba abiria,siyo kubeba abiria na kwenda kujaza mafuta na wasisubiri ajali zitokee ndo matamko yaanze.
Miaka kadhaa huko nyma iliwahi kupigwa marufuku, kama kawaida yetu hakuna tena ufuatiliaji na tunasubiri janga litokee, tuwaone wanasiasa uchwara na mikwara yao.
 
Hivi hili ni la Serikali au abiria kuchukua hatua? Maana sisi ndio tunapelekwa shell lakini tumekaa kimya etu unasubiri Serikali ichukue hatua si upumbavu huu
Abiria wanatofautiana,wachache wanalalamika lakini wengi huwa wanaunga mkono mauchafu ya madereva kama speed na kwenda sheli
 
Ngozi nyeusi kutii sheria ni mpaka shurti.

Wangapi wanazima vyombo vya moto wakiwa wanajaza mafuta kwenye hivyo vituo?
 
Kwa nini uhangaike na dereva wa daladala, vituo vya mafuta ndio vingepaswa kubanwa kwa nini viruhusu gari ya abiria ijaze mafuta ikiwa na abiria...
 
Back
Top Bottom