Uchaguzi 2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

Haitawasaidia chochote, mwisho wa siku watakuja kuaibika tu. Hakuna Dikteta anayedumu MILELE.
komamgo
Hebu nitajie angalau tusi moja, alilolitoa Tundu Lissu katika "Press conference" aliyoifanya hiyo Jana?

Kama usipotaja, ndipo tutaamini maneno aliyotoa Tundu Lissu, kuwa waandishi wa habari na wamiliki wao, wanawaogopa sana akina Dkt Abbas, kuhofia "consequences" zitakazowapata, iwapo tu vyombo vyao vya habari vitampa "coverage" kubwa huyo mgombea Urais toka chama cha Chadema
Hakuna hajaya kutaja tusi lolote katika press conference ya jana maana alisha pigwa ban na vyombo vya habari kwa utovu wa nidham na maneno ya dharau., aliyoyatumia kabla ya jana.
 
Madikteta wOte Duniani, hakuna hata mmoja, anayependa au kuruhusu uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa maoni.

Wakati wa Mabuto huko DRC, ole chombo cha habari kitangaze habari za mtu yeyote anayemkosoa yeye au Serikali. Ilikuwa hivyo kwa Amin, Bokasa, Nguema, Gadafi, Sadam, n.k.

'...... vyombo vya habari hampo huru kiasi hicho'

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia wanapenda kuweza kwenye ulinzi high spying networks
 
Pia wanapenda kuweza kwenye ulinzi high spying networks
Kila anapokwenda, anaambatana na maaskari wengi wenye bunduki za moto, wanaomlinda.....................

Hivi ni kiongozi gani wa wanyonge ambaye anawaogopa kiasi hicho, wananchi wenzake wanyonge?
 
komamgo
Hebu nitajie angalau tusi moja, alilolitoa Tundu Lissu katika "Press conference" aliyoifanya hiyo Jana?

Kama usipotaja, ndipo tutaamini maneno aliyotoa Tundu Lissu, kuwa waandishi wa habari na wamiliki wao, wanawaogopa sana akina Dkt Abbas, kuhofia "consequences" zitakazowapata, iwapo tu vyombo vyao vya habari vitampa "coverage" kubwa huyo mgombea Urais toka chama cha Chadema
TBC walifukuzwa ktk mkutani sasa ea nini tena
 
Swali kwenu CHADEMA, mnatakaje vyombo vya habari viwape coverage wakati last 2 weeks mlifukuza chombo cha habari TBC hadharani tena kwa kuwapa dak 15 wawe wameondoka, sijawahi sikia hata siku moja Chama chochote cha siasa kifukuze chombo cha habari kwa udikteta uliofanya pale Mbagala..

Hapo hamjapewa madaraka, je mkipewa ndio mtafunga na kuua vyombo vya habari, juzi tu mlikuwa mnalilia uhuru wa vyombo vya habari, sasa kwanini mliwafukuza TBC kama wezi au mbwa pale Mbagala ZKM? CHADEMA hamna sera wala mnachosimamia.. Huu uchaguzi JPM will win over 78% of total votes.

Subiri muone
 
Jana niliona Azam TV, taarifa ya habari.....sijui huko tibisi,staa tivi,aitivi,krauzi na kwingineko
 
Mgombea Urais kupitia Chadema jana Jumatano alifanya "Press conference" na vyombo vya habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na wamiliki wa vyombo hivyo.

Jambo la kushangaza ni kuona kuwa hata chombo cha habari cha Umma, Televisheni ya TBC, ambayo gharama za uendeshaji wake tunaibeba walipa kodi wa nchi hii, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, nacho hakitaki kumripoti mgombea huyo wa kiti cha Urais!

Kwa namna ya jinsi inavyotoa ripoti, na kuzifanya habari za Rais John Magufuli, kuwa ni "lazima" zipewe kipaumbele, zinafanya chombo hicho cha habari nchini cha TBC, kuwa kama ni chombo cha propaganda za CCM!

Kinachotakiwa na vyombo vya habari hapa nchini ni kuondoa hofu ambayo imetanda miongoni mwao, katika kuripoti matukio ya kampeni ya mgombea huyo wa Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA na kufanya kuwa fair kwa kutoa nafasi iliyo sawa kwa vyama vikuu hapa nchini vya CCM na CHADEMA.

Swali kubwa ninalojiuliza, je baada ya Tundu Lissu kufanya hiyo "press conference" vyombo vya habari hapa nchini vimeanza kubadilika na kuona hakuna "consequences" za kuanza kumripoti huyo mgombea Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA?
Mkuu hivyo vyombo havina tatizo, tatizo ni sisi kuendelea kuwafatilia
 
Hana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
Ila waripoti yeye akiitwa kibaraka wa mabeberu
 
Mgombea Urais kupitia Chadema jana Jumatano alifanya "Press conference" na vyombo vya habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na wamiliki wa vyombo hivyo.

Jambo la kushangaza ni kuona kuwa hata chombo cha habari cha Umma, Televisheni ya TBC, ambayo gharama za uendeshaji wake tunaibeba walipa kodi wa nchi hii, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, nacho hakitaki kumripoti mgombea huyo wa kiti cha Urais!

Kwa namna ya jinsi inavyotoa ripoti, na kuzifanya habari za Rais John Magufuli, kuwa ni "lazima" zipewe kipaumbele, zinafanya chombo hicho cha habari nchini cha TBC, kuwa kama ni chombo cha propaganda za CCM!

Kinachotakiwa na vyombo vya habari hapa nchini ni kuondoa hofu ambayo imetanda miongoni mwao, katika kuripoti matukio ya kampeni ya mgombea huyo wa Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA na kufanya kuwa fair kwa kutoa nafasi iliyo sawa kwa vyama vikuu hapa nchini vya CCM na CHADEMA.

Swali kubwa ninalojiuliza, je baada ya Tundu Lissu kufanya hiyo "press conference" vyombo vya habari hapa nchini vimeanza kubadilika na kuona hakuna "consequences" za kuanza kumripoti huyo mgombea Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA?
Nani aripoiti upumbavu?
 
Kwa mafanikio ya hii miaka Mitano. Lissu ni Bora angejitoa tu ajaribu tena 2035.
 
Wewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)
Hakuna speech asiyotoa bila kuwaita wenzake majina ya ajabu .
Yaani yeye anajua kila kitu, anaweza kila kitu, wenzake wote ni zero, wenzake hawajui chochote. Yaani hata watanzania nao hawajui kabisa , yeye peke yake anajua na anaweza na anaomba mchango kwa lazima.
Kuna yule huwa anasema watangulizi wake hawajafanya lolote, ila yeye pekee ndiye anafaa kuwa kiongozi, vp bwana huyo huoni kuwa anaamini kuwa anaweza kila kitu yeye tu?
 
Back
Top Bottom