Je, Unaiamini Condom?

Je, Unaiamini Condom?

Ndio maana hata usiku unalala ukafunga na mlango ukiamini hautavamiwa
 
Naweza kuitumia condom kama kinga kwa nisichokijua sasa kama najua kua huyo ninaeenda kukutana nae tayari ana tatizo Kuna maana gani ya kwenda? vinginevyo nitakua naijaribu Condom kwa gharama za maisha yangu huo ni zaidi ya Ujinga.
 
Kondom ndo kila kitu hapa mjini, other wise tungekuwa tushaisha
 
Duh hata kuivaa sijui, nazionaga tu road zimetupwa
 
Ukimwi siku hizi sawa na mafua tuu niamini lipira la kazi gani? Si asavali nikapige puchu kuliko kujichafua!!!

comment hii kutoka kwako si jambo dogo,je huamin katika uwepo wa ukimwi?
 
Back
Top Bottom