Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,352
- 857,453
comment hii kutoka kwako si jambo dogo,je huamin katika uwepo wa ukimwi?
Si kwamba siamini la hasha ila kuna mkanganyiko mkubwa sana kuhusu huu ugonjwa Africa journal ilishawahi kulijadili hili kwa mapana yake