Je, Unaiamini Condom?

Je, Unaiamini Condom?

ukiambiwa funga miguu yako na wewe ukakataa, uta pigwa tu! Na mimi nasema upigwe tu (lamsingi mpigaji asiwe peku) maana tumechoka sasa!! By pinda et al.
kazi ya hichi kidude ni kupigwa na si kuniambia nibane miguu
 
ukiambiwa funga miguu yako na wewe ukakataa, uta pigwa tu! Na mimi nasema upigwe tu (lamsingi mpigaji asiwe peku) maana tumechoka sasa!! By pinda et al.

Umeniacha hoi mkuu upigwe tu hahahahaha miss chaga unalo
 
Nakipiga peku napoteza raha siku tatu nne zijazo!

Nikijilinda na salama jabiri akili kichwani inakua siku poa sana!
 
Yaani ni mesoma ubishi wote sijaona pointi...

Condom zina kazi tatu
Moja kukinga mimba
Mbili kukinga magonjwa ya zinaa
Tatu ambayo ndo muhimu kuliko zote ni kurudisha heshima ya ndoa.. Maelezo kidogo.. Ndom zime saidia mno kwa yale majamaa yanayo tapika baada ya sekunde 15, ukiwa na ndomu unaweza kwatua ile kitu mpaka dk 30 yaani mpaka inakauka baadae ikipasukia kwa ndani ndo Ile sekunde 15 za raha ya ajabu hutokea

Kuna jingine....!!
 
Mkuu points zipo nyingi sana labda kama hujataka kuziona

Lile swali la ukipewa demu mwenye ngoma na condom upige upo tayari???
 
Back
Top Bottom