kama najua siendi .. ila kama sijui nakubali kupigwa
Condom sio kwa ajili ya kuzuia Ukimwi.
Mnaotumia mnajipa matumaini tu bure.
ndiyo mkuuMungu wangu! Kupigwa tena!
ndiyo mkuuDuu!
Huwa unapigwa?
kama najua siendi .. ila kama sijui nakubali kupigwa
kwa sababu na nyie wanaume mnasemaga mnatupiga
maneno ni mengi ndiyo maana mi natumiaga kuwa nimepigwa ili hata nionewe huruma hata kama nilipata raha.... Nikitaka game namwambia baby leo nataka unipigekugonga,kubonda,kubutua,kulamba,kumpitia n.k
karibu sanaHa ha ha ha ha ha ha ha ha dah you made my day
siiamini Condom kabisa ndio maana siitumii kabisa
Inategemea! Kama ni Hale Berry hata ndom yenyewe naichana!
Tukienda nyuma sana mnamo mwaka 1494 ugonjwa wa kaswende ulipatikana kwa wanajeshi wa ufaransa, ugonjwa huu ulikuwa ni mbaya sana kiasi ambacho ukiupata unatokwa na upele mwili mzima na kuanza kutoa usaha baada ya hapo ngozi huanza kutoka yote kuanzia usoni na baada ya miezi mitatu kwaheriiii!!
Kuna mtu alitengeneza vitambaa na kuviwekea chemical fulani na kujaribishia watu 1100 na kuona haiambukizi ( walivaa kama condom ila kwa kuwa ni kitambaa wanafunga na ribbon)
Condom zilianza miaka ya 1642 wakitumia utumbo wa Mbuzi na wanyama wengine(usicheke) kwa wanaume na kwa wanawake walitumia vibofu vya wanyama kuzuia mimba. Pia walitumia kwa kujikinga na maradhi.
Kwa hiyo swali lako hilo wengi hupuuza na kujipa faraja kuwa aah anasingiziwa
Nilikua naziamini sana na kuzitetea kuwa ni salama lkn iliponipasukia bila kujua wakat nipo mzigoni imani nazo imeisha kabisaa" Mungu ndio ananilinda
......Mh!
kama najua siendi .. ila kama sijui nakubali kupigwa